Acha kutafuta matatizo dada..kumbuka familia iliyosema ndoa yenu ivunjike ni hyohyo ss ukiolewa nae mkipata changamoto utaomba ushauri wapiWandugu nimekuja humu kuomba ushauri kwa hili swala linalonisumbua.
Ni muda sasa umepita tangu kuachana na mume wangu nililokuwa naishi nalo baada ya mzozo wa hapa na pale.
Wazazi wakatuita kusuluisha lakini baba mkwe akakomalia hataki kuona tukirudiana huku akitoa sababu ambazo hazina msingi wa maana, wazazi wangu kuona vile wakaamsha popo tukaondoka na mimi nikaelekea kwangu.
Sasa ni muda baba mkwe amekuwa akinilaghai anataka tuanzishe uhusiano na baadae ikiwezekana tuanze kuishi pamoja, mkewe alifariki katika ajali ya gari miaka 7 iliyopita.
Wanajamii hii kitu ndo kwanza naisikia kutoka kwa huyu Baba naona sio kawaida. Nikamshtaki kwenye ukoo au?
Halafu ni aibuAcha kutafuta matatizo dada..kumbuka familia iliyosema ndoa yenu ivunjike ni hyohyo ss ukiolewa nae mkipata changamoto utaomba ushauri wapi
Alishindwa kuwapatanisha yeye kama mzazi
Jee sasa ivi ndio ataweza kujipatanisha mwenyewe mkigimbana
Mambo mengine hata si ya kuomba ushauri
Sent using Jamii Forums mobile app
Tena toka ujana wake hana kabisa adabuHana adabu!
Nilikuwa namuombea mtu ushauri ndugu yangu , Mimi Ni jike pureNi wewe yule yule au mwingine! Nyuma (rejea post yako Naombeni ushauri wanaume wenzangu) ulidai wewe dume, hapo juu wewe mwanamke! Du, kweli JF kuna wanachama viatu na watu!!
Nilivolog in nmeona avatar yangu imehamia kwa bushland na kwango hakuna kitu kidogo nianguke puhKwanini Mkuu?
Sijui ni muijizaNilivolog in nmeona avatar yangu imehamia kwa bushland na kwango hakuna kitu kidogo nianguke puh
Nikalog out nikarudi tena nikaikuta
Sikui ni muukiza
Sent using Jamii Forums mobile app
Quran inakataza..Wandugu nimekuja humu kuomba ushauri kwa hili swala linalonisumbua.
Ni muda sasa umepita tangu kuachana na mume wangu nililokuwa naishi nalo baada ya mzozo wa hapa na pale.
Wazazi wakatuita kusuluisha lakini baba mkwe akakomalia hataki kuona tukirudiana huku akitoa sababu ambazo hazina msingi wa maana, wazazi wangu kuona vile wakaamsha popo tukaondoka na mimi nikaelekea kwangu.
Sasa ni muda baba mkwe amekuwa akinilaghai anataka tuanzishe uhusiano na baadae ikiwezekana tuanze kuishi pamoja, mkewe alifariki katika ajali ya gari miaka 7 iliyopita.
Wanajamii hii kitu ndo kwanza naisikia kutoka kwa huyu Baba naona sio kawaida. Nikamshtaki kwenye ukoo au?
Hata hii ya leo unamuombea mtu ushauri wewe ni dume pure ila dume jikeNilikuwa namuombea mtu ushauri ndugu yangu , Mimi Ni jike pure
Wachaga hiziWandugu nimekuja humu kuomba ushauri kwa hili swala linalonisumbua.