Dalili zilianza lini!baada tu ya kuondoka au hata kabla ya kukosana na mumeo.Isije kuwa mumeo kaziona dalili kaamua yaishe ili kujiepushia aibu!!!!!!!!!!sabuni ya roho

Hana adabu!Mzee unataka goma hilo![]()
![]()
![]()
![]()
mzee mshenzi.nzi kweli
kwa hiyo akishaolewa akija mtaraka wake atamwitaje mwanae!!!wakati mtoto ndio wa kwanza kura mzigoHuyo baba hana adabu anataka nae aonje utamu aliokuwa anafaidi mwanae.
-Ndumilakuwili-
Itakuwaanataka umpe mzigo doh
Wandugu nimekuja humu kuomba ushauri kwa hili swala linalonisumbua.
Ni muda sasa umepita tangu kuachana na mume wangu nililokuwa naishi nalo baada ya mzozo wa hapa na pale.
Wazazi wakatuita kusuluisha lakini baba mkwe akakomalia hataki kuona tukirudiana huku akitoa sababu ambazo hazina msingi wa maana, wazazi wangu kuona vile wakaamsha popo tukaondoka na mimi nikaelekea kwangu.
Sasa ni muda baba mkwe amekuwa akinilaghai anataka tuanzishe uhusiano na baadae ikiwezekana tuanze kuishi pamoja, mkewe alifariki katika ajali ya gari miaka 7 iliyopita.
Wanajamii hii kitu ndo kwanza naisikia kutoka kwa huyu Baba naona sio kawaida. Nikamshtaki kwenye ukoo au?
Ainaga ubaba mkwe tunakulàgaWandugu nimekuja humu kuomba ushauri kwa hili swala linalonisumbua.