Baba mkwe anataka kunioa

Baba mkwe anataka kunioa

Wandugu nimekuja humu kuomba ushauri kwa hili swala linalonisumbua.

Ni muda sasa umepita tangu kuachana na mume wangu nililokuwa naishi nalo baada ya mzozo wa hapa na pale.

Wazazi wakatuita kusuluisha lakini baba mkwe akakomalia hataki kuona tukirudiana huku akitoa sababu ambazo hazina msingi wa maana, wazazi wangu kuona vile wakaamsha popo tukaondoka na mimi nikaelekea kwangu.

Sasa ni muda baba mkwe amekuwa akinilaghai anataka tuanzishe uhusiano na baadae ikiwezekana tuanze kuishi pamoja, mkewe alifariki katika ajali ya gari miaka 7 iliyopita.

Wanajamii hii kitu ndo kwanza naisikia kutoka kwa huyu Baba naona sio kawaida. Nikamshtaki kwenye ukoo au?
Pole sana. Ila sijakuelewa hapa
''Ni muda sasa umepita tangu kuachana na mum wangu nililokuwa naishi nalo baada ya mzozo w hapa na pale''.
Nisaidie ndugu maana kuachana kupo hata mm pia huwa nahuzunika sana nikisikia wanandoa wameachana. Najua mapenz yanauma lkn sijafurahishwa na haya maneno. Umeyaandika km una kisasi moyoni.
Sawa umeshaachana na huyo mume wako lkn ukithubutu kutembea na baba mkwe ni aibu sana, utadharaulika na kila mtu na kukuona ww haufai kuwa mke. Km unataka kuolewa tafuta mtu mwingine not your father in law
 
Wandugu nimekuja humu kuomba ushauri kwa hili swala linalonisumbua.

Ni muda sasa umepita tangu kuachana na mume wangu nililokuwa naishi nalo baada ya mzozo wa hapa na pale.

Wazazi wakatuita kusuluisha lakini baba mkwe akakomalia hataki kuona tukirudiana huku akitoa sababu ambazo hazina msingi wa maana, wazazi wangu kuona vile wakaamsha popo tukaondoka na mimi nikaelekea kwangu.

Sasa ni muda baba mkwe amekuwa akinilaghai anataka tuanzishe uhusiano na baadae ikiwezekana tuanze kuishi pamoja, mkewe alifariki katika ajali ya gari miaka 7 iliyopita.

Wanajamii hii kitu ndo kwanza naisikia kutoka kwa huyu Baba naona sio kawaida. Nikamshtaki kwenye ukoo au?
Mkubalie
 
Duuuuuh, watu wengine viazi kweli, sijui hali hii inasababishwa na nini aisee
 
Bushland
Sikujua kuwa we ni ke. Ila ka ni kweli, usiombe ushauri humu jf. Kaa mahali, tulia kwanza jiulize, huyu baba anataka nini?? Je, tangu uolewe kwao, alishawahi kukutamani? Ka hajawahi, jiulize, ni tatizo gani limetokea hadi akutake leo?? Je, ukikubali, ukaolewa naye, mmeo atakuita nani? Kijijini mtaonekanaje??
Hayo yote, ni wewe tuu unahusika. Wao ni kwa kitambo kidogo tu ila wewe, ukiamka asubuhi, unakutana na huyu baba/mumeo. Ukitoka nje, unakutana na mume/mwanao. Utaishije? Usikimbilie maamuzi ya wengine kwani sio wao watakuja yaishi maisha yako
 
Wandugu nimekuja humu kuomba ushauri kwa hili swala linalonisumbua.

Ni muda sasa umepita tangu kuachana na mume wangu nililokuwa naishi nalo baada ya mzozo wa hapa na pale.

Wazazi wakatuita kusuluisha lakini baba mkwe akakomalia hataki kuona tukirudiana huku akitoa sababu ambazo hazina msingi wa maana, wazazi wangu kuona vile wakaamsha popo tukaondoka na mimi nikaelekea kwangu.

Sasa ni muda baba mkwe amekuwa akinilaghai anataka tuanzishe uhusiano na baadae ikiwezekana tuanze kuishi pamoja, mkewe alifariki katika ajali ya gari miaka 7 iliyopita.

Wanajamii hii kitu ndo kwanza naisikia kutoka kwa huyu Baba naona sio kawaida. Nikamshtaki kwenye ukoo au?
Mpaka sasa kuna majibu ambayo au maongezi ambayo au majibu ambayo umekuwa ukimjibu huyo Mkwe wako ambayo ukiombwa uyaweke hapa kama yana ishara ya kumkatalia utashindwa kuyaweka mimi kama mhenga wa JF nakushauri endelea na kile Moyo wako inakihitaji kwa kuwa tayari moyo wako una mengi ambayo huwezi kuyaweka wazi kwetu ambayo yanakuhusu wewe na huyo mkwe wako,, Kwa mfano ukiulizwa maombi hayo yameanza lini toka Mkewe afariki? Je Kipindi huyo Mkwe wa kiume anakomolia kuachia mahusiano Mkewe alikuwa yu hai? Kwa hiyo Mimi Kama mimi ambaye ni mhenga Mkuu humu JF Moyo wako una mengi kuliko ushauri utakao pewa?
 
Mwambie mwanae aliyekuwa mumeo kuwa Baba ako ananitaka msikie anasemaje! Huenda Baba kilikuwa kikwazo cha ndoa yenu kuvunjika ili akufuatilie wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom