Baba mkwe anataka kunioa

Baba mkwe anataka kunioa

Kwa hiyo unaweza kushaurika hapa?
Mfano ukiambiwa kubali utafanya hivyo? Au nawe una chembechembe za kumpenda baba mkwe? Mambo mengine unayamaliza mwenyewe tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilikuwaga nadhani Bushland ni Mwanaume..
 
Huyo baba mkwe ni mchaga nini!!! maana wababa mkwe wa kichaga hawaoni soni kutembea na "moli" wao! hahahahahahahaah.
TAHADHARI: usiyaingilie sana, wachaga ni watani zangu
 
Kimsingi huyo ni mpigaji tu.na amekuchukulia wewe kicheche.sijajua labda unafananafanana kihivyo.Mkubalie kwamba unataka kuolewa naye halafu mwambie aje kwa wazazi wako ajitambulishe kwanza na kuleta posa ili kujenga imani.tuone ata respond vipi.
 
Mambo ya Walawi 18 : 15 - Usifunue utupu wa mkweo mwanamke; yeye ni mke wa mwanao; usifunue utupu wake huyo.

Mambo ya Walawi 18 : 29 - Kwani mtu awaye yote atakayefanya machukizo hayo mojawapo, nafsi hizo zitakazoyafanya zitakatiliwa mbali na watu wao.
 
Hilo zee chawi kweli....limegoma usirudiane na mwenzio kumbe linakutaka
 
Dah baba katamani mzigo wa mwanae? Hatari sana
 
Sasa hili nalo lakuomba ushauri! Angalia nafsi yako inavyokutuma. Lkn usisahau hadhi yako pia
 
Back
Top Bottom