Baba mkwe anataka kunioa

Baba mkwe anataka kunioa

Wandugu nimekuja. Humu kuomba ushauri kwa hili swala linalonisumbua.

Ni mida sasa umepita tangu kuachana na dume langu nililokuwa naishi nalo baada ya mzozo wa hapa Na pale.

Wazazi wakatuita kusuluisha lakini Baba mkwe akakomalia hataki kuona tukirudiana huku akitoa sababu ambazo hazina msingi wa maana, wazazi wangu kuona vile wakaamsha popo tukaondoka namimi nikaelekea kwangu.

Sasa Ni muda Baba mkwe amekuwa akinilaghai anataka tuanzishe Uhusiano Na badae ikiwezekana tuanze kuishi pamoja, mkewe alifariki katika ajali ya gari miaka 7 iliyopita.

Wanajamii hii kitu ndo kwanza naisikia kutoka kwa huyu Baba naona sio kawaida,.

Nikamshtaki kwenye ukoo au?
Hahahah.... acha janja ya nyani, eti ukashitaki kwenye ukoo. Nakuona unavyomezea mate hii nafasi ila nikutahadharishe ukija ukakubali umeliwa na utaamsha yaliyokuwa yamelala na kingine hata hilo DUME (la ng'ombe, mbuzi au Temba?) ulilosema itakuwa ni majangaaaaaaa.....
 
Anataka kuchenjua makinikia ya mwanae 😀😀
 
Kama mumeo ni mjinga hakupima vyema za kuambiwa ajachanganya na zakw olewa ikiwa tu ana mpunga ule vya ukoo mzima.
 
Back
Top Bottom