Baba lao video is Out (Diamond Platnumz)

Baba lao video is Out (Diamond Platnumz)

Vya kurithi vinazidi mondi amemrithisha mwenyewe mikito huyo dogo sasa asipaniki afanye kama anavyofanyaga kiba,kiba hata uporomoshe nyimbo 10 hatishiki ye anapojiona yupo tayari anaachia.
 
Vya kurithi vinazidi mondi amemrithisha mwenyewe mikito huyo dogo sasa asipaniki afanye kama anavyofanyaga kiba,kiba hata uporomoshe nyimbo 10 hatishiki ye anapojiona yupo tayari anaashia.
Kwani mondi ana achia nyimbo kwaajili ya mtu au kwaajili ya mashabiki wake?
 
Hii ni moja kati ya nyimbo zake mbovu, hakuna ubunifu wowote katika wimbo huu. Na alivyo na mashabiki maandazi wote wanamsifia kuwa katoa bonge la hit.
Subiri matusi mkuu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Kuna watu wanapata tabu jamani [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]eti video nampa 100 wimbo nampa 50 waaaiiiiii kuwa msukule raha
 
Dada yangu mbona unateseka kiasi hicho na maoni yangu
 
Back
Top Bottom