Ebu nifafanulie vizuri ulikuwa unamaanisha Nini?Nafikiri ujatafakari nilichokimaanisha.
Ebu nifafanulie vizuri ulikuwa unamaanisha Nini?Nafikiri ujatafakari nilichokimaanisha.
Dada yangu mbona unateseka kiasi hicho na maoni yangu
Mpaka saa 12 jioniMkuu TAMKO bado?
Nimempa 100% video cos video ni kali na yenye ubunifu Sana na nimeikubali ile mbaya ila wimbo sijaupenda Sana Kama ngoma zake za nyuma ndo maana nimetoa asilimia 50.NashangaaKujishtukia nacho kipaji[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hii segment naipenda Sana.Mzuka ukipanda na hili shati navua (acha uongoooo)
Mzuka ukipanda na hili bukta navua (acha uongoooo)
Jamani navuuuu (acha uongooo)
mama navuaa (acha uongooo)
mwenzenu navua eeeeeeeeeh (Kuna BASATA)
Basi napiga yopeee (huweziiii)
iyobo napiga yopeee (huweziiii)
Mi napiga yopeeee (huweziiiii)
Eh eh eh eh eeeeeeeh eh eh eh eh eeeeeeeeeeeh
Mtu unayehisi au watu kumchukulia ni mpinzani wako akifanya jambo vuta subira upepo wake upite kidogo nawe utafanya na watu watajua umefanya. Mfano sisi wanawake mdogo ako akikutangulia kuolewa kaolewa wiki hii mara wiki ijayo nawe unaleta mchumba na unataka ndoa ya haraka unadhani waalikwa na ndugu watahisije.....................?Ebu nifafanulie vizuri ulikuwa unamaanisha Nini?
Diamond maisha yake ni mziki na atoa mziki kwa malengo yake anayoona yeye ili awafurahishe mashabiki wake ngoma hii kaachia kwa sababu ya WASAFI FESTIVAL ambayo itafanyika kesho na si kwa kuangalia mtu mwingine.Kusema eti katoa kwasababu ya fulani uwo ni mtazamo wako.Na nikawaida ya mond kutoa ngoma ya kuchezeka pindi inapokaribia wasafi mfano ngoma Kama African beauty alitoa pia kipindi Cha kukaribia wasafi na mashabiki zake wanajua Hilo.Mtu
Mtu unayehisi au watu kumchukulia ni mpinzani wako akifanya jambo vuta subira upepo wake upite kidogo nawe utafanya na watu watajua umefanya. Mfano sisi wanawake mdogo ako akikutangulia kuolewa kaolewa wiki hii mara wiki ijayo nawe unaleta mchumba na unataka ndoa ya haraka unadhani waalikwa na ndugu watahisije.....................?
Msemaji wa uongo ila niliyokwambia mimi ndio Uhalisia wa kimaisha na kirizki,naomba nikomee hapa.Diamond maisha yake ni mziki na atoa mziki kwa malengo yake anayoona yeye ili awafurahishe mashabiki wake ngoma hii kaachia kwa sababu ya WASAFI FESTIVAL ambayo itafanyika kesho na si kwa kuangalia mtu mwingine.Kusema eti katoa kwasababu ya fulani uwo ni mtazamo wako.Na nikawaida ya mond kutoa ngoma ya kuchezeka pindi inapokaribia wasafi mfano ngoma Kama African beauty alitoa pia kipindi Cha kukaribia wasafi na mashabiki zake wanajua Hilo.
acha uongoMzuka ukipanda na hili shati navua (acha uongoooo)
Mzuka ukipanda na hili bukta navua (acha uongoooo)
Jamani navuuuu (acha uongooo)
mama navuaa (acha uongooo)
mwenzenu navua eeeeeeeeeh (Kuna BASATA)
Basi napiga yopeee (huweziiii)
iyobo napiga yopeee (huweziiii)
Mi napiga yopeeee (huweziiiii)
Eh eh eh eh eeeeeeeh eh eh eh eh eeeeeeeeeeeh
Isije ikawa miongoni mwa hizo video mbili kuna mmoja kaimba hivyo na umefanya kumnukuu aisee nisijue maana ntakufa kwa chekoMzuka ukipanda na hili shati navua (acha uongoooo)
Mzuka ukipanda na hili bukta navua (acha uongoooo)
Jamani navuuuu (acha uongooo)
mama navuaa (acha uongooo)
mwenzenu navua eeeeeeeeeh (Kuna BASATA)
Basi napiga yopeee (huweziiii)
iyobo napiga yopeee (huweziiii)
Mi napiga yopeeee (huweziiiii)
Eh eh eh eh eeeeeeeh eh eh eh eh eeeeeeeeeeeh
Nikki mbishi zohanZote hizo hazigusi moto wa video ya nikki mbishi babu talent
Katoe wa kwako tuujudge tuone Nani kakurupuka.
So what's itching you?
Copy na wewe tuone
Toa wa kwako mzuriShukrani tanasha dona... WIMBO MBOVU KUWAHI KUTOKEA UKIFUATIWA NA ULE WA ZILIPENDWA..
Ingia YOUTUBE NOW kaangalie GIB CARTER FT MAVOKO.. ngoma inatembea kwa jina la CHINIToa wa kwako mzuri
Kwani mondi ana achia nyimbo kwaajili ya mtu au kwaajili ya mashabiki wake?
Hahahaha nimecheka sana hili jibu.mash
mashabiki ni mbuzi au kondoo
Hahahaah mimi sio msanii wa bongo fleva...diamond platinumz ndio msanii wa bongoflevaCopy na wewe PATIGOO tuone litakuaje kama hata radio mbao zitakuzungumzia