Sungusunguu
JF-Expert Member
- Aug 4, 2018
- 1,280
- 998
Kali
Asa wewe na nyimbo yako nzuri mbona hatuoni watu waje kuprove nawe walau ufikishe views 1M in 15 hrs.??Hivo vitu ulivyovitaja havina uhusiano wowote na wimbo kuwa mbaya kuna MTU anaenda kuangalia ili kuprove km wimbo ni mbaya kweli au laah? MTU ana subscribers 2.5m kwanini asipate hao viewers?
Huyo ni mama lao, bado wanatafuta mafanikio yao kwa kuungana wakati Babalao anawazoom tu.[emoji23][emoji23][emoji23]No1 on trending kama wimbo mbovu kajinyonge.saiz kila kona Ni" Baba lao"......wewe ni baba laao ao ni mama laaao!