JEKI
JF-Expert Member
- Aug 16, 2013
- 4,845
- 2,968
Pengo la harmo limeanza kuonekana?
Hii ni moja kati ya nyimbo zake mbovu, hakuna ubunifu wowote katika wimbo huu. Na alivyo na mashabiki maandazi wote wanamsifia kuwa katoa bonge la hit.