Baadhi ya wanaume waliooa hawana haya wala soni

Baadhi ya wanaume waliooa hawana haya wala soni

Cha kufia nini wew kila mtu acheze nje tukikutana ndani kila mtu kachoka hooii
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] kila mtu anacheza nje ya uwanja mkirudi ndani mazoezi tu hadi raha[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Mmmmm labda aje na vidonda kapigwa na watu wasiojulikana kajikuta mabwepande laa sizani hiyo ndoa itakuwaje!
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]
 
Yan wanaume hta akili zao cjui znkaa wapi mna wanakua hawaelewki wanatka mtu wa aina gani unakuta mwanaume mke wake ana chura lakin ataenda kuchepuka na asie na chura. Mwngine wake hna chura ataenda chepka na alie na chura yani hawaelewki hasa wanapnda nini na unkuta mke wake ndani anamjali kwa kila anchosema. labda wseme wnyewe wanatka nin
Mmh eti anamjali kwa kila anachosema....mna uhakika lakini?! Ndoa zina mambo jamani tusilaumu tu upande mmoja
 
Bado nipo naye mkuu, nlikuwa naye tu siku ya muungano, nimemsafirisha toka kwao akaja mkoa nlipo nimemgegeda usiku kucha kuanzia tr 25 na 26
Maana huwa nikitaka mgegedo wa uhakika lazima niagize beki3 wangu, maana bandika badndua hatulali. Kama juzi tulilala saa10 usiku yeye kuamka anasema papuchi imevimba ila ananiambia tumalizie kamoja, basi tukapiga meshi ila hakuna bao lililotoka ilibidi tu tuache maana alikuwa kachoka balaa hana hata nguvu.
 
Utakuta mtu yuko buys na mme wa mtu na kabanwa balaa kapangishiwa jioni huyo kwa mkewe miaka inasonga siku akili inakaa sawa jua lipo magharibi, usikute wateja wengi wa Makonda wamezaa na waume za watu pumbavu kabisa
Teh[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125]
 
Mahusiano ya kweli sikuhizi hayapo kabisa ndo mana michepuko kila corner
Ndiyo halafu huwa najiuliza hivi hawajuagi kama wake zao nao wanatongozwa tena na wanaume zaidi yao je na wao wakiwa kama wao humo ndani si tutawaona manyau tu akiwa kakaa hapo unamng'ong'a tu hili nalo sijui linasafiri lini na hilo tumbo lake na ubara huo kama uga [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom