maliyamtu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2017
- 2,136
- 3,879
Watu hawajali hayo alafu wanawake wakitafuta vipoozeo wanaanza kulalamika sasa nani anawwza handle hayaHapo ndipo huchoka mwanamke unakubalia kwenda kulala kwa mwanamke mwenzio hivi naye akiolewa na huyo mwanaume hajui kama atafanyiwa hayo hayo?