Buntungwa
JF-Expert Member
- Oct 29, 2010
- 549
- 310
Sio wote Wanaume wako hivyo mimi mke wangu kama atanionyesha mapenzi niko tiyari nimpe hilo Gari la land cruiser mimi niendeshe gari la kawaida. Lakini kama mke wangu atakuwa yupo Negative sitoweza kumpa gari langu la land cruiser.
Wote 2 yani mke na mume nijukumu lenu kuonyeshana mapenzi
Onyeshaneni mapenzi