Baadhi ya wanaume waliooa hawana haya wala soni

Baadhi ya wanaume waliooa hawana haya wala soni

Unamke mzuri nyumbani anakupikia na kukufulia. Lakini bila ya aibu una rudi na shati lenye lipstick, kwakuwa una guilty conscious unaliweka kwenye laundry basket haraka haraka usiulizwe.

Hivi mnafikiria wake zenu wana mioyo ya chuma?
Umenunua gari land cruser mke wako wala hajaiendesha yeye na watoto umewaachia vitz. Lakini ukifika tu ofisini mchepuko wako ana chukua shangingi anapiga misele mjini mpaka jioni.

Kimekuwakia na yule jamaa mpare mganga wa kienyeji Mshana Jr nini?

Jikaze!
 
Unachokaje na ndo chakula ulichkichagua hadi ukaknunua nakukiweka ndani? Ni Tama zenu kwakujua mnkomoa wake zenu kumbe mnajikomoa wenyewe.
Tamaa ndio asili yetu. Kuamua kuweka ndani chakula kimoja hii haimaanishi usiendelee kula vizuri huko nje. Kikubwa heshima nyumbani
 
Dah itakuwa wakati yupo kwenye daladala za gongo la mboto dereva akaminya break kwa gafla ndio mdada mdomo wake ukaja kwenye shati
Anaesemwa hapa,anatumia cruiser yake mwenyew sasa hayo madaladala unayotaja mkuu punguza kupayuka.
 
Unamke mzuri nyumbani anakupikia na kukufulia. Lakini bila ya aibu una rudi na shati lenye lipstick, kwakuwa una guilty conscious unaliweka kwenye laundry basket haraka haraka usiulizwe.

Hivi mnafikiria wake zenu wana mioyo ya chuma?
Umenunua gari land cruser mke wako wala hajaiendesha yeye na watoto umewaachia vitz. Lakini ukifika tu ofisini mchepuko wako ana chukua shangingi anapiga misele mjini mpaka jioni.
wanaume
 
Huu ndo ukweli kwa tafiti za KIMATAIFA.
IMG_20180430_011040.jpg
 
Back
Top Bottom