Baadhi ya wanaume waliooa hawana haya wala soni

Baadhi ya wanaume waliooa hawana haya wala soni

Wanaume huwa hawaridhiki wana funza kwenye madushe yao huwa zinawasha kukunwa kunwa hawaridhiki na mwanamke mmoja
Unawaongeleaje wanawake walioolewa halafu bado wanachepuka tena na wanaume zaidi ya wawili?
 
Atongozwe tu nikijua namfukuza
[emoji16][emoji16][emoji16] sasa utajua saangapi hakuna msiri kama mwanamke, baba fanya yote mke anakuchora tu ukazani bwege kumbe naye anayake, unamfanyia ya hovyo kakukalia kimya ukazani anakuogopa na kukuheshimu ohoooo sio babu wewe kakugeuza miguu tu
 
Mwanaume ni kiumbe ambae ana matamanio mnooo!!!yaani akitamani atafanya hata mkewe 99%perfect!
Ni kuwavumilia tuu ndugu yangu!ukitaka wa kwako peke ako labda umbumbe mwenyewe!

Ila huyu wa Sir God tutashea tu!!!
Mtoa mada kaacha kuwasema wanawake kama wewe mnaojibidiisha kuchepuka nasisi badala yake kang'ang'ana na sisi wanaume bila yakujua kua kama kutongozwa hata sisi tunatongozwa kwa dunia yasasa.Namsihi mtoa mada akubadili wewe msheaji ndiyo aje kutulaumu sisi.
 
Hahaha ndevu kama brash ya chachandu vile likilala linakoroma unalicheki tu wooi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unanivunja mbavu , kukoroma kama chura baada ya kunywa bia na kongolp
 
Wanaume ndivyo walivyo ila wakiwa humu wote wanasema wanawapenda wake zao
Kama baadhi yenu mnavyodanganya kua mnawapenda waume zenu huku mnapigwa hovyohovyo bila staha.
 
Hahaaa kwanini uangaike kwa waganga si utulie na mkeo tu, mwanamke mwenye akili ya kuchepuka hausishi mtu ninyeye na mchepuko wake basi mawasiliano yapo huyo mtu wakazi gani
Tena mim huwa staki kabisa mambo ya kupigiana sim za mapenz na Mcheps nikitaka kuwasiliana vibanda vya sim vipo vya kutosha yanin kutumia sim yangu,,wanaume mnatakiwa mkubali tu tunawazidi akili sana
 
Mtoa mada kaacha kuwasema wanawake kama wewe mnaojibidiisha kuchepuka nasisi badala yake kang'ang'ana na sisi wanaume bila yakujua kua kama kutongozwa hata sisi tunatongozwa kwa dunia yasasa.Namsihi mtoa mada akubadili wewe msheaji ndiyo aje kutulaumu sisi.
Kwahiyo ukitongozwa na mwanamke lazima ukubali?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unanivunja mbavu , kukoroma kama chura baada ya kunywa bia na kongolp
Hahaha na yani kwakweli yani akijifanya amechoka hataki match unajisemea kimoyomoyo ungejua mwenzio nimekwanguliwa hata ham sina basis unajilalia tu
 
Tena mim huwa staki kabisa mambo ya kupigiana sim za mapenz na Mcheps nikitaka kuwasiliana vibanda vya sim vipo vya kutosha yanin kutumia sim yangu,,wanaume mnatakiwa mkubali tu tunawazidi akili sana
Tuna akili kuwazidi hawajijui tu mwanamke anambinu nyingi sana, huwa ni kujiheshimu tu
 
Hahaha na yani kwakweli yani akijifanya amechoka hataki match unajisemea kimoyomoyo ungejua mwenzio nimekwanguliwa hata ham sina basis unajilalia tu
Haaa haaa anajua kakukomesha kumbe nawe unasema afadhali duu siri sirini [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Na anayeumia mwanaume atalishwa kila aina ya uchafu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] na asipotulia atalishwa kila kitu ndio,ila shida ni pale anapoleta magonjwa nyumbani
 
Back
Top Bottom