Muzine
JF-Expert Member
- May 4, 2017
- 32,364
- 60,495
SafiiiiNipo my miss you too, tunapishana tu, habari ya uzima wako
SafiiiiNipo my miss you too, tunapishana tu, habari ya uzima wako
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji126]Bila shaka na wewe umeshatafuta
mchepuko
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Mwanaume punguza umbeyaa mm nikiachika utanioa[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji26][emoji26][emoji26]
Mwanaume kusutwa ni vibayaMshana jr pita huku plz!@ mshana jr.
Sasa hapa nimewadhihaki nin em nipishe,,ya baba angu anayajua mama mim hayanihusuKumbuka na mzazi wako ni mwanaume kama mimi na wengine. Kwa hiyo acha kutudhihaki.
Unatumia mbinu gani?Mbalizi hutonikamata miaka 800
Tusibishane sana bhana wacha nikae kimyaNakudaka fasta tu hadi utabaki unashangaa
Si unaona imesaidia walau kapunguza makombora aliyokuwa anaturushiaMwanaume kusutwa ni vibaya
Anakuzingua huyo.Ndo wapi mkuu
Yule housegirl bado upo nayeDemis pole sana. Ila sisi nature yetu ni wanyama, so tunaishi kama wanyama. So angalia mbuzi huwa ana majike zaidi ya 10 yote yanabeba mimba, angalia jogoo, majike yapo zaidi ya 20 yote yanamtegemea jogoo mmoja yanataga na yanatotoa, bata vilevile, hivyo kwa unyenyekevu kabisa naomba nikueleweshe dermis wanaume wote tunafanana. Ukiona mwanaume anachepuka, si kwamba hakuoendi la hasha. Ana kupenda sana ila mazingira aliyopo kwa mda huo ndo vimemfanya afanye hivo. Sisi wanaume kinachofanya tuchepuke kuna sababu kadhaa. Ila ukaribu na mwanamke ndo sababu kuu, mf. Utaona mke yupo anamwachia kila kitu beki3 anahudumia mme basi ukaribu ule humfanya mume amtamani b3 na mwisho huomba gem.pia maneno machafu, kutomjali mume huu ni udhaifu mwingine wa mwanamke.. Mwanamke huchepuka kwa sababu. Hivyo mwanamke ukiona kachepuka basi kuna sababu either analipiza, amepewa hela, zawadi, ama mwanaume kamjali na kumsikiliza shida zake
Si mnaenda tafuta wenye tabia kama zenuLakini nauliza hivi huwa tunajit0mB@ au?
Na ndo dawa yao[emoji23] [emoji23]Weeee asikwambie mtu mpaka ugundue si leo watu wanalea watoto wasio wao wanasomesha mpaka mwisho na usijue labda mwenyewe tu na uombe tu labda yule aliyezaa naye aambiwe kama hajaambiwa basi baba utalea tu
Mmh mna uhakika kila kitu anafanyiwa!?[emoji15] [emoji15]Utakuta kila kitu anafnyiwa, kuna mbaba hivyo hivyo mke mzuri kweli lakini anahangaika siku mke kachoka, nikwambiavyo sahizi huyo baba ukimwangalia hata haeleweki mke anamaisha yake safi, mbaba kaolewa yupo kwa mwanamke hata watoto wake anashindwa kukaa nao
Wewe hujaoa mkuu ndo maana unasema nirahisi. Kgundua mwanamke anayetiwa nje ni ngumu sana. Lazima utumie gharama kubwa sana. Ila njia rahisi sana angalia shoga yake mkubwa sana ambaye unaamini ana siri zake nyngi mtongoze na akikubali simamia vidole, baada ya wiki tu utamkamata. Ila option B tumia waganga wa kienyeji naipenda ile ya kugandana maana hainaga kubishaWeeee asikwambie mtu mpaka ugundue si leo watu wanalea watoto wasio wao wanasomesha mpaka mwisho na usijue labda mwenyewe tu na uombe tu labda yule aliyezaa naye aambiwe kama hajaambiwa basi baba utalea tu
Wajinga sana!!! daaah, basi Sawa ngoja tuendelee na ujinga wetu!Wajinga sanaa
[emoji16][emoji16][emoji16] hilo kweli kuna mbaba alikumbana nalo baada ya hapo likawa gobole lisilokuwa na risasi mke kaanza kumwangaikia tena kama mie ningemuacha akae tu na ukibogoyo wake [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]mtakuja kula na majini
Kama ninyi mnavyotupata wenye tabia kama zenu au sio!Si mnaenda tafuta wenye tabia kama zenu
Bado nipo naye mkuu, nlikuwa naye tu siku ya muungano, nimemsafirisha toka kwao akaja mkoa nlipo nimemgegeda usiku kucha kuanzia tr 25 na 26Yule housegirl bado upo naye