Muzine
JF-Expert Member
- May 4, 2017
- 32,364
- 60,495
Heheheheheiyaaa sio kuponda wanaume mmezidi kuchepukaDesign kama vile mmeamua kuponda tu
Heheheheheiyaaa sio kuponda wanaume mmezidi kuchepukaDesign kama vile mmeamua kuponda tu
Mshana jr pita huku plz!@ mshana jr.Mnawashwa na funzaaaa
Unachokaje na ndo chakula ulichkichagua hadi ukaknunua nakukiweka ndani? Ni Tama zenu kwakujua mnkomoa wake zenu kumbe mnajikomoa wenyewe.Punguza ukali.
Hivi unajua wali maharagwe unachosha? Lazima uende kutafuta chakula kingine
Inaonekana una misukosuko[emoji23] [emoji23] [emoji23] ila mambo ya wanaume jamani almost yanafanana kabisa yani huyu alojibu hivi ni wakwangu kabisaa
Ujinga kupita kiwango cha lamiEbanaeeeeee
Mwanaume punguza umbeyaa mm nikiachika utanioa[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji26][emoji26][emoji26]Mshana jr pita huku plz!@ mshana jr.
Uje nikukague sasa na hilo jina jipya.[emoji23] [emoji23] [emoji23] nimeamua tuu!!4yrs jina hilo hilo tu!
Mngh!Heheheheheiyaaa sio kuponda wanaume mmezidi kuchepuka
Nshakaguliwa mudaa![emoji1] [emoji1] [emoji2] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Uje nikukague sasa na hilo jina jipya.
Umezidi kutupiga makombora na ww khaaah!Mwanaume punguza umbeyaa mm nikiachika utanioa[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji26][emoji26][emoji26]
Pole sana.Sema hiyo landcruiser ni kubwa sana wewe kuendesha sababu umeshazoea vitz hiyo utagongesha .ngoja kwanza ichakaee kidogo.huyo mke mwenzio mzoefu.Unamke mzuri nyumbani anakupikia na kukufulia. Lakini bila ya aibu una rudi na shati lenye lipstick, kwakuwa una guilty conscious unaliweka kwenye laundry basket haraka haraka usiulizwe.
Hivi mnafikiria wake zenu wana mioyo ya chuma?
Umenunua gari land cruser mke wako wala hajaiendesha yeye na watoto umewaachia vitz. Lakini ukifika tu ofisini mchepuko wako ana chukua shangingi anapiga misele mjini mpaka jioni.
Lakini nauliza hivi huwa tunajit0mB@ au?Ujinga kupita kiwango cha lami
Unapenda kuguna weyeeeeMngh!
Hebu njoo inbox tuyajengeMi siku hzi najinyamaziaga tu maana kuongea ya kazi gani unasema Leo kesho unakutana na jingine looh akuu,,nikiona stress zinazidi najitaftia njia mbadala
Mmmmm labda aje na vidonda kapigwa na watu wasiojulikana kajikuta mabwepande laa sizani hiyo ndoa itakuwaje!Yeah. Sasa mwambie sky eclat kuwa akikuta lipstik kwenye shat afue tuu. Aache maneno neno. Tena ashukuru ameletewa afue. Je angeamua kulala kabisaa na kubadilisha nguo ingekuwaje??
Haina shidaSasa ukifa umeisha kula papuchi za kutosha mkeo atakuuma nini?
Ndo umeamua kunisemea kwa mme wangu jamanUmezidi kutupiga makombora na ww khaaah!
[emoji3] [emoji3]
Maelezo yenu yana jazba mnoUnapenda kuguna weyeeee