Baadhi ya wanaume waliooa hawana haya wala soni

Wanaume wenye wake wengi ndo hufa mapema zaidi kwanza nguvu tu za kuwaridhisha wote si ndogo hafu, wengi huzaa watoto wasio wao, maana inabidi mchepuko nao uwe na chain ki maradhi hamna kupona
Si ndiyo hapo halafu unaweza kuta wake hawaridhishwi hivyo kila mtu anaenda kujiliwaza huko, kila mtu anakuja kwa kujihami
 
Mahusiano ya kweli sikuhizi hayapo kabisa ndo mana michepuko kila corner
 
Sioni shida kumuachia mke wangu kadi ya bank akatoe hela ambayo tunakuwa tumeshakubaliana kwaajili ya malengo fulani. Simu yangu ashike aichezee atakavyo hata kama atakuta chochote atachoona kina ukakasi majibu nampa na anaridhika nayo. Mkiishi kwa kupendana raha sana kwasababu hata mkipishana ni rahisi kurekebishana na kuwekana sawa.

Ujana kazi kweli kweli.
Siku hiyo nilichoka halafu huyo baba ni mtu mzima yaani nilijiuliza kweli, kuna watu huwa hawajui mme anapataga nini zaidi ya kupewa tu hela ya matumizi
 
Unamke mzuri nyumbani anakupikia na kukufulia. Lakini bila ya aibu una rudi na shati lenye lipstick, kwakuwa una guilty conscious unaliweka kwenye laundry basket haraka haraka usiulizwe.

Hivi mnafikiria wake zenu wana mioyo ya chuma?
Umenunua gari land cruser mke wako wala hajaiendesha yeye na watoto umewaachia vitz. Lakini ukifika tu ofisini mchepuko wako ana chukua shangingi anapiga misele mjini mpaka jioni.
Sijui kama unajua vizuri tulivyoumbwa na MUNGU.usitutingishe aisee,we tupotezee tu maana ndivyo tulivyo mpaka dunia itakwisha
 
Wanaume huwa hawaridhiki wana funza kwenye madushe yao huwa zinawasha kukunwa kunwa hawaridhiki na mwanamke mmoja
Demis pole sana. Ila sisi nature yetu ni wanyama, so tunaishi kama wanyama. So angalia mbuzi huwa ana majike zaidi ya 10 yote yanabeba mimba, angalia jogoo, majike yapo zaidi ya 20 yote yanamtegemea jogoo mmoja yanataga na yanatotoa, bata vilevile, hivyo kwa unyenyekevu kabisa naomba nikueleweshe dermis wanaume wote tunafanana. Ukiona mwanaume anachepuka, si kwamba hakuoendi la hasha. Ana kupenda sana ila mazingira aliyopo kwa mda huo ndo vimemfanya afanye hivo. Sisi wanaume kinachofanya tuchepuke kuna sababu kadhaa. Ila ukaribu na mwanamke ndo sababu kuu, mf. Utaona mke yupo anamwachia kila kitu beki3 anahudumia mme basi ukaribu ule humfanya mume amtamani b3 na mwisho huomba gem.pia maneno machafu, kutomjali mume huu ni udhaifu mwingine wa mwanamke.. Mwanamke huchepuka kwa sababu. Hivyo mwanamke ukiona kachepuka basi kuna sababu either analipiza, amepewa hela, zawadi, ama mwanaume kamjali na kumsikiliza shida zake
 
Unapomzungumzia mwanaume ujue kuwa hata baba yako na yeye ni mwanaume. Kwa hiyo usimtukane mzazi wako kupitia jinsia yake.
 
Demis pole sana. Ila sisi nature yetu ni wanyama, so tunaishi kama wanyama. So angalia mbuzi huwa ana majike zaidi ya 10 yote yanabeba mimba, angalia jogoo, majike yapo zaidi ya 20 yote yanamtegemea jogoo mmoja yanataga na yanatotoa, bata vilevile, hivyo kwa unyenyekevu kabisa naomba nikueleweshe dermis wanaume wote tunafanana. Ukiona mwanaume anachepuka, si kwamba hakuoendi la hasha. Ana kupenda sana ila mazingira aliyopo kwa mda huo ndo vimemfanya afanye hivo. Sisi wanaume kinachofanya tuchepuke kuna sababu kadhaa. Ila ukaribu na mwanamke ndo sababu kuu, mf. Utaona mke yupo anamwachia kila kitu beki3 anahudumia mme basi ukaribu ule humfanya mume amtamani b3 na mwisho huomba gem.pia maneno machafu, kutomjali mume huu ni udhaifu mwingine wa mwanamke.. Mwanamke huchepuka kwa sababu. Hivyo mwanamke ukiona kachepuka basi kuna sababu either analipiza, amepewa hela, zawadi, ama mwanaume kamjali na kumsikiliza shida zake
Kumbeeee
 
Ila wanawake mkichepuka ni rahisi sana kukamatwa
Weeee asikwambie mtu mpaka ugundue si leo watu wanalea watoto wasio wao wanasomesha mpaka mwisho na usijue labda mwenyewe tu na uombe tu labda yule aliyezaa naye aambiwe kama hajaambiwa basi baba utalea tu
 
Nakukamata fasta tu hadi ubaki unajiuliza
 
Back
Top Bottom