Baadhi ya wanaume, huu ujasiri mnautoaga wapi?

Habarini za wakati huu wana JF.

Kuna baadhi ya wanaume mna hii tabia ambayo binafsi naona siyo nzuri na siyo busara kufanywa na mwanaume mwenye akili zake timamu.

Unakuta mwanamke kwasababu amekwambia anakaa mwenyewe, unataka akukaribishe kwake ilhali hakuna ulichomchangia yaani ndiyo kwanza mmejuana hata mwezi hamna, ushaanza oooh! Lini utanikaribisha kwako, natamani nipafahamu kwako.

Hata kama kakwambia yupo single acha kujipa huo ujasiri wa kwenda nyumbani kwa mwanamke ambaye humlipii kodi, na wanaume wengi wenye hii tabia wengi ni hawa wanaoishi Dar, mtakuja mvuliwe ubingwa huko, sijui mtamlaumu nani na wakati mmejipeleka wenyewe.
Hili nalo la kuhitaji ujasiri? Kama mwanaume anaweza lamba sehemu yenye zaidi bacteria milioni moja hilo ni jambo dogo sana linaloweza kufanywa na wanaume.

Kuna mambo wanaume tunafanya ni hatari hata kusimulia. Wewe ukiombwa kumkatibisha na uamuzi wa kukataa au kukubali. Wapo wanawake ambao wanashutumu wanaume wanaona signals hawajiongezi na kuchangamkia fursa. Unataka baadae umuite zoba?
 
UKweli ni kwamba wanawake ambao hawataki kuwapeleka wanaume wanapoishi ni kwamba wanakuwa hawana mwanaume mmoja. Hivyo ili mambo yasiwe mengi wanazuia wanaume kwenda kwao kwa kisingizio kwamba watamwingiza future mume ama baba mtoto/watoto.

Ila unakuta kuna msururu wa wanaume wanaotoa hela ya kodi.
 
Kwanini na wewe uiendee hatari sasa
 
UKweli ni kwamba wanawake ambao hawataki kuwapeleka wanaume wanapoishi ni kwamba wanakuwa hawana mwanaume mmoja. Hivyo ili mambo yasiwe mengi wanazuia wanaume kwenda kwao kwa kisingizio kwamba watamwingiza future mume ama baba mtoto/watoto.

Ila unakuta kuna msururu wa wanaume wanaotoa hela ya kodi.
Siyo kweli mkuu, hivyo unatafsiri vibaya nyie wanaume shida yenu mnataka kufanya vyumba vya wenzenu kama guest house
 
Habarini za wakati huu wana JF.

Kuna baadhi ya wanaume mna hii tabia ambayo binafsi naona siyo nzuri na siyo busara kufanywa na mwanaume mwenye akili zake timamu.

Unakuta mwanamke kwasababu amekwambia anakaa mwenyewe, unataka akukaribishe kwake ilhali hakuna ulichomchangia yaani ndiyo kwanza mmejuana hata mwezi hamna, ushaanza oooh! Lini utanikaribisha kwako, natamani nipafahamu kwako.

Hata kama kakwambia yupo single acha kujipa huo ujasiri wa kwenda nyumbani kwa mwanamke ambaye humlipii kodi, na wanaume wengi wenye hii tabia wengi ni hawa wanaoishi Dar, mtakuja mvuliwe ubingwa huko, sijui mtamlaumu nani na wakati mmejipeleka wenyewe.
Kwanza unaonaje kwa mtoto wa kike banaa
 
Ni kweli lakini dunia hii Ina mengi. Unaweza ugua ghafla na wenzako WASI respond kwa wakati. NSHA kutana na na huo mtihani uti wa mgongo ulikazaa SIWEZI amka nikavuta SIMU kushtua NDUGU wakachelewa nikasaidiwa na JAMAA YANGU WA mbali SANA hata SI kudhania YANI sinaga hata STORI NAE SANA. SIMU moja TU kwishaa

Kwishaaaa
Pole sana bro alex 😢
 
Jibu la swali.lako ni majibu mawili
1)mwanamke unaweza ukamlisha na kumtunza kwa miaka miwili ila yeye akikulisha na kukutunza miezi miwili tu utajuta kwa masimango na dharau .
2)Wanaume wa hivyo wanasema hivyo kukupimq wakitaka kujua nafasi yao mwanzo wa mausiano na kukusoma ...wapo wanaume wengi wanasema hivyo ika ukiwakalibisha wanakuwa wagumu kuja kwako .
Mkuu wengi wanaotaka kukaribishwa huwa wapo serious kabisa wanataka kuja kweli
 
Back
Top Bottom