Dhana ya kujiajiri ni dhana ya viongozi waliokosa vision, walioshindwa kutransform opportunities kuwa economic potentials kwa watu wao, lakin wanaosubiri watu waanzishe vitu waje kudai kodi. Kuthibitisha hili ndo maana wao wanahubiri kujiajiri lakin kuna wazee kama wasira wanapambana mahakamani warudi kwenye ajira. Niko hapa Uingereza kwa muda mrefu tu, cjawahi kumckia kiongoz yoyote anashaur watu kujiajiri, kwanza control ya huku ni ngumu kusustain sundry investments ambazo hazina kichwa wala miguu na ndo maana uchumi wetu unafail sababu ya watu wote kudhani kuwa wanaweza kufanya kazi za aina flani. Theory za uchumi zimetambua unemployment kama tatizo katika economy, watu katika makundi tofauti tofauti wanaajiriwa wanazalisha vitu flani flani, market ina react kwenye uzalishaji, serikali inakusanya chake nk. Mtu kama ana mtaji flani basi anainvest kwenye kampuni ambazo zipo na kupata return, kama una capital ya kutosha unaweza kuanzisha small au medium entreprise. Kuwaambia vijana wanaomaliza vyuo cjui wajiajiri wakati mitaji ya maana hawana, expertise hawana na zaid ya zote market hakuna ni majibu ya watu walioshindwa kuwa organise watu wengine. Viongozi wetu wengi akili hawana, zaidi ya ujinga tu, narudia akili hawana wamebaki kungangania madarakani tu, wapishe vijana wawaoneshe fursa zinavyotengezwa bila kuleta utitiri wa vibiashara njaa ambavyo mwisho wa siku watu hawana future yoyote.