Econometrician
JF-Expert Member
- Oct 25, 2013
- 17,851
- 33,573
dah hizi elimu zetu ni shida kuna binti leo nimekutana nae ofisi fulani kamaliza UDOM toka 2012 BCOM-account walimaliza 1500 .nikamuuliza unashughulika na nini hpa Town kaniambia bado anatafuta ajira ya kuajiriwa-nikachoka kabisa