Baada ya ujauzito when to start(***) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Baada ya ujauzito when to start(***)

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Aunty Lao, Nov 12, 2008.

 1. A

  Aunty Lao JF-Expert Member

  #1
  Nov 12, 2008
  Joined: Jul 7, 2008
  Messages: 215
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Hello memberz,

  Naomba kuuliza, baada ya mama kujifungua anatakiwa kufanya nini na ni wakati gani anaweza kukutana kimwili tena na mumewe. Wakunga asanteni.
   
 2. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #2
  Nov 12, 2008
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,418
  Likes Received: 81,463
  Trophy Points: 280
  `
  Kama amejifungua kwa kawaida na hakukuwa na mikiki mizito basi wiki mbili tu zinatosha ingawaje akina mama wengi wanakuwa hawako tayari hivyo wakati mwingine ni mama anapokuwa tayari kufanya hivyo na hii inatofautiana kati ya mama na mama. Kama ni kwa C section basi ni miezi miwili, lakini miye siyo mkunga :)
   
 3. A

  Aunty Lao JF-Expert Member

  #3
  Nov 12, 2008
  Joined: Jul 7, 2008
  Messages: 215
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  BAK, asante kwa mchango wako mzuri maana nilikuwa sijui kabisa hayo mambo.
   
 4. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #4
  Nov 13, 2008
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,644
  Likes Received: 1,470
  Trophy Points: 280

  40 days zinatosha kabisa
   
 5. BrownEye

  BrownEye Member

  #5
  Nov 13, 2008
  Joined: Jul 31, 2007
  Messages: 86
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hee ama kweli vijana wa siku hizi, Nani kawaambieni kuwa unaweza kumshughulisha maiwaifu wako kabla ya siku Arobaini? Makubwa haya. Ndio maana wake wanasumbuliwa sana na kale kaunjwa ka kutolea hewa chafu kwa mbele. Hata kizazi hakijarudi sehemu yake mmeshaanza kusumbua? Enzi zetu hatugusi wake hadi wakauke na wawe safi. Hata hivyo wataalam wanapendekeza miezi mitatu, iwe amejifungua njia ya kawaida au kisu.
  Hapo lakini kazi ipo!!

  Mimi pia si mkunga, ila kalufundi haka nilikapata kwa nyanya yangu na mganga.
   
 6. M

  Mama JF-Expert Member

  #6
  Nov 13, 2008
  Joined: Mar 24, 2008
  Messages: 2,858
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 0
  at teh first place niliwaza kuwa BAK ni mkunga.

  Kama umafanyiwa C-section, na haina matatizo yeyote, unaweza jivinjari hata baada ya wiki mbili. Cha muhimu ni confortability, feelings na damu kukata. Mimi pia sio mkunga
   
 7. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #7
  Nov 13, 2008
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,418
  Likes Received: 81,463
  Trophy Points: 280
  How long do we have to wait before having sex again?

  Doctors and midwives advise that you wait four to six weeks after the birth of your baby. The uterus and cervix undergo significant changes during childbirth, and they need time to heal. During this healing phase the lining of the uterus, especially the site where the placenta was attached, is susceptible to infection. Intercourse, tampons, and anything placed in the vagina may introduce bacteria and cause an infection. The flow of lochia, which is a sign that the lining is healing, can last from three to eight weeks. When the lochia flow is no longer bright red, it signals that healing is near completion, and it's probably safe to have intercourse again. However, if your partner is healing from an episiotomy or vaginal tear, you'll need to wait longer still. She'll find out at her first postpartum exam (usually four to six weeks after delivery) whether she has the green light for sex.

  But just because you can't have intercourse doesn't mean that you have to rule out intimacy altogether. Oral sex and other forms of "outercourse" like masturbation are safe a few days after delivery. If your mate has stitches from an episiotomy or vaginal tear, be sure you avoid contact with that area in order not to disrupt the healing. While you may be concerned that the bacteria in your mouth could increase your partner's risk of infection, you needn't worry as long as the stimulation is strictly external (in other words, stick to the area around the clitoris). Stay away from the vagina and the perineum and everything should be fine.

  Even if you're not up for sexual activity, it's still important to stay physically connected to each other through hugs, kisses, massages, or just holding hands.  Before "jumping back into bed" with your wife, it's important to find out how SHE feels about things. Does she feel physically, emotionally and/or psychologically ready? Giving birth and caring for a new baby are huge, exhausting life events. Hormone shifts and sleep deprivation in the weeks after birth are important factors, also. Have a frank conversation with your wife to find out how she's feeling about resuming intercourse with you.

  It's interesting when you say, "It has been almost three weeks and I just can't wait any longer." It's only three - or really six weeks - in your lifetime together. What would happen if you needed to wait longer before having intercourse? Men in similar positions masturbate to take the pressure off, so that they won't explode from blue balls. This is where negotiating and finding common ground are so important. If it's okay with your partner, you can masturbate with her - next to her, against her, or with her touching, kissing, and/or talking with you. All this is to be worked out together. Your needs deserve to be taken care of, whenever possible, if not by your wife, then by yourself. Your wife, the mother of your baby, now has other needs, and the baby has needs, so if your wife can't meet your needs at this time, then it's important to take care of yourself, and be loving and tender with your wife, rather than impatient and deprived.

  Most health care providers suggest waiting for at least six weeks after childbirth (either vaginal or by C-section) before having vaginal or anal intercourse again. Some health care providers specify that the woman should no longer be experiencing vaginal bleeding when she resumes having intercourse. After a C-section, an incision may appear healed, but still be vulnerable to stress, and a woman's internal organs are not yet be back to normal, either. Your own obstetrician or midwife can explain her/his rationale, based upon your wife's individual pregnancy and delivery.

  Some health care providers ask women to wait until after their six-week check-up, so that there is certainty that healing has occurred, to decrease the chance of infection and to avoid discomfort or pain. On the other hand, some couples are eager to have some kind of sex together so they do not wait till the six-week check-up. If you are both ready to become sexual with each other again, and the six weeks haven't passed, outercourse options and/or oral sex can be fulfilling and pleasurable after childbirth.
   
 8. M

  Mama JF-Expert Member

  #8
  Nov 13, 2008
  Joined: Mar 24, 2008
  Messages: 2,858
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 0
  okay, asante BAK.

  Kuna wanawake wanapata ujauzito hata kabla ya mwezi kwisha baada ya kujifungua, na maanisha unakuta mtu ana mtoto wa miezi kumi au miezi kumi na moja na kachanga. Hapo lazima atakuwa anaconceive kabla ya hizo wiki sita.
   
 9. Capitol Hill

  Capitol Hill JF-Expert Member

  #9
  Nov 13, 2008
  Joined: Oct 19, 2007
  Messages: 733
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Tulijaliwa mtoto wa kiume January mwaka huu. OBGYN doctor wa mke wangu tena mbele yangu baada ya kujifungua alimwambia wife kwamba anatakiwa asiwe na contact na kitu chochote "down there" for seven weeks.
  Ilikuwa ngumu lakini we managed...My wife had a normal virginal delivery. But this is to say..watu wengine chose to do otherwise kwani mama akiweza kuwa na psychological confidence kwamba hataumia na kama kweli yuko fit down there ku resume majambozz..sioni shida yeyote.
   
 10. Sajenti

  Sajenti JF-Expert Member

  #10
  Nov 13, 2008
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 3,673
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Mi wangu alipojifungua alikuwa muoga sana ku-resume game lakini alikuwa ananiruhusu nipige pige brash kwenye veranda..It was nice though inahitaji ujasiri otherwise unaweza kuzama!!!!!

  You can even practise this kama mazingira yatakuwa sio condusive kwa zoezi la kawaida kufanyanyika kwa sababu moja au nyingine!!
   
 11. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #11
  Nov 13, 2008
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  Maelezo ya BAK ni mazuri sana na ya kitaalamu. Hiyo ndiyo sababu wanandoa wanashauriwa kusubiri wk 6 au siku 40 kama wengi wetu tulivyozoea!

  Lakini katika maisha ya kawaida hili jambo ni gumu sana na huwezi kupata muafaka wa muda sahihi wa kurejea kwenye tendo la ndoa. Uzoefu wangu ni kuwa, kama mama amejifungua salama basi watu wengi hawasubiri siku 40 bali wanaangalia hali ya njia ya uzazi (yaani kama damu zimekauka) na kama mama anajisikia kuanza kazi, wanaanza tu!

  Jambo moja la kusikitisha ni kuwa kuna maeneo fulani ya nchi yetu ambapo watu wanaamini kuwa kuanza ngono mapema kunamsaidia mama kupona mapema (expedites postpurtum healing)!! Nina ushahidi wa watu wanaonza ndani ya siku 10 tu (wastani wa siku 6-7)!! Kitaalamu kuna ukweli kuwa ngono inasababisha hormone ya oxytocine kumwagwa mwilini mwa mama kwa wingi na hormone hii inaongeza kasi ya kizazi (uterus) kusinyaa na kutanuka (contractions) hivyo kasi ya kutoa uchafu inaongezeka pia. Lakini ni kitendo cha hatari sana kwani kinatia kinyaa (aethetically unacceptable) na hakikubaliki kitabibu (medically unacceptable)!! Lakini watu wanafanya na hata wakati wa hedhi;.. huo ndio ukweli na hali halisi!!
   
 12. A

  Aunty Lao JF-Expert Member

  #12
  Nov 14, 2008
  Joined: Jul 7, 2008
  Messages: 215
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Jamani asanteni sana kwa michango yenu mizuri. Bado pia sijapata ufafanuzi baada ya kujifungua tuu nimambo gani yanayofata yani mtoto akishatoka tuu what follows. Nigependa kujua maana natarajia kupata mtoto soon na sina usaidizi zaidi wa Mr.
   
 13. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #13
  Nov 14, 2008
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  Unaweza kuambiwa mambo mengi lakini si rahisi kupata kile hasa kinachokulenga wewe. The stories might not be very specific to your case. Ushauri wangu ni kuwa ujaribu kuongea na Daktari wako (Obs) anayekuhudumia. Ila kama ni mtoto wako wa kwanza unatakiwa kujiandaa kushughulikia mahitaji ya watu wawili ambao wote ni muhimu sana kwako. Hili wanandoa wengi huwa wanalipa uzito kidogo na ni mwanzo wa matatizo kwa ndo nyingi. Get prepared to meet the demands of your husband and the baby! Sometimes women put more weight on the baby and end up in crisis with their husbands. Similarly, some men demand too much as if the baby doesn't exist! You will soon face the reality of life!
   
 14. NaimaOmari

  NaimaOmari JF-Expert Member

  #14
  Nov 14, 2008
  Joined: Sep 25, 2007
  Messages: 807
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  BaK utaua .. ndo maana sisi watu wa zamani kidogo mimba ifikapo miezi nane tunarudi nyumbani kwa wazazi till after 40 days then tunarudi kwa waume

  40 days is sufficient kwa mtu alojifungua kawaida
   
 15. NaimaOmari

  NaimaOmari JF-Expert Member

  #15
  Nov 14, 2008
  Joined: Sep 25, 2007
  Messages: 807
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Kwa sasa hivi uzima wako ni first priority .. Mwenyezi Mungu akujaalie wepesi .. otherwise ukishafikia everything will fall in place, ukishajifungua wengine ss wa zamani tulikandwa na maji ya moto .. sijui kama the practise still exists though in africa yes ... utafundishwa kuposition yourself na mtoto during breast feeding and usafi wa mtoto especially kitovu .. kwa ujumla otherwise ... you will automatically feel kwamba you know kila kitu akishakuzaliwa mtoto as hii especially ni gift kwa Mungu mengine comes automatically.

  Tunakuombea salama
   
 16. M

  Mama JF-Expert Member

  #16
  Nov 14, 2008
  Joined: Mar 24, 2008
  Messages: 2,858
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 0
  Jiandae kwa some sleepless nights. Hii inategemea na mtoto na wewe mwenyewe. Kuna watoto wengine wasumbufu by nature, analala mchana kutwa usiku anakuwa macho; na kwa upande wako unaweza kuwa na wasiwasi wa mtoto kujifunika nguo na kushindwa kupumua, mawazo yatakayo kufanya kukosa usingizi au kuamka kila mara kummwangalia mtoto kama yuko okay. Achilia mbali kuamka kunyonyesha na kum-badilisha. Kwa kawaida mtoto halii isipokuwa ana njaa, anahitaji kubadilishwa diaper, discomfort (joto, baridi, gas tumboni) au mgonjwa.

  Mtoto mchanga analala masaa 18 hadi ishirini kwa siku, hakikisha nawe unalala wakati mtoto kalala. Yaani ile mambo ya mtoto kalala ngoja nifue fue, nipike, nipige pasi, nifanye usafi n.k vipangilie kiasi kwamba unapata muda wa kutosha kulala. Usipopata usingizi wa kutosha baada ya kujifungua, inaweza kuleta postpartum mood disorders au hata depression.

  Omba msaada inapobidi au kubali kusaidiwa na marafiki pale wanapooffer msaada.


  Huyo mumeo ni msaada katika kupika, kufua, kukupa moyo, kupiga pasi n.k. Jukumu kubwa la mtoto ni lako, utashangaa vile akili yako itakavyojitune. Kuna wanaume wengine hawawezi kuhimili kukaa zamu na kubembeleza mtoto pale anaposumbua usiku) au kusaidia hadi mwisho, ni watu wa kuchoka haraka. Na kama hatakuwa na likizo, na yeye ni binadamu hivyo atahitaji muda wa kupumzika ili kesho aende kazini. Kuwa considerate.

  Uangalizi wa mtoto utapata kwa wahudumu wa afya baada ya kujifungua (hii nayo inategemea, hivyo usirely sana on them, kuna wengine hawakuambii vya kutosha). Chunga sana kitovu cha mtoto kisipate infection. Kisafishe kila siku au baada ya siku moja, lile ni tundu, hakikisha unalifunika ili hewa isiingie ndani wanasema huwa inacontribute gas tumboni mwa mtoto. Mvishe mwanao accordingly. Hakikisha una vest za kutosha na anavaa vest kabla hujamvika nguo ingine. Viganja vya mikono, nyayo na kichwa ni katika sehemu zinazopoteza joto kwa wingi, hivyo hakikisha amevaa gloves, socks na kofia unapotoka au inapobidi.

  Jitahidi kuanza kusoma routine ya mwanao na tabia yake mapema iwezekanavyo. Kuna watoto wavumilivu na wengine hawawezi kabisa kuvumilia any discomfort kama njaa, wet diaper, joto, baridi na kadhalika. Usichelewe kumnyonyesha au kumpa chupa yake na jitahidi asilie hovyo unless unapokuwa huna jinsi.


  Usisite kuuliza kwa wenye uzoefu kuhusu kitu chochote ambacho una wasiwasi nacho au usichokijua. Utapata maternal instincts, jipe nafasi ya kuzisikiliza.

  My two cents.
   
 17. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #17
  Nov 14, 2008
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  Mama kweli unastahili kuitwa mama!
   
 18. Mrembo

  Mrembo JF-Expert Member

  #18
  Nov 14, 2008
  Joined: Oct 9, 2008
  Messages: 392
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Asante sana Mama, nimejifunza mengi leo kutoka kwako. Mungu akuzidishie, ili na sisi tujifunze kwako zaidi.
   
 19. Mwawado

  Mwawado JF-Expert Member

  #19
  Nov 14, 2008
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 998
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 35
  Nimefarijika sana na maelezo ya Mama kwa Mzazi mtarajiwa...ni Elimu muhimu na si rahisi kuipata kwa urahisi wa namna hii....Hongera Mama!!! ni wazi wengi watanufaika na Elimu hiyo,naanza kukuangalia kwa macho mengine..."kuna wakati Bibi (nyanya) yangu aliwahi kuniambia kuwa,busara ya mwanamke ni maneno yake" ndio ngao ya kutunza nyumba na familia yake...naamini nawe ni mmoja wa wanawake aliowazungumza Bibi.... Endelea kumwaga hekima yako hapa!
   
 20. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #20
  Nov 14, 2008
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,418
  Likes Received: 81,463
  Trophy Points: 280
  LOL!!! Umenichekesha kweli kweli!!! eh! ulikuwa unaruhusiwa upige brush kwenye veranda tu lakini chumbani mwiko kuingia :)
   
Loading...