Baada ya ujauzito when to start(***)

BaK utaua .. ndo maana sisi watu wa zamani kidogo mimba ifikapo miezi nane tunarudi nyumbani kwa wazazi till after 40 days then tunarudi kwa waume

40 days is sufficient kwa mtu alojifungua kawaida

LOL! Naima! Wanandoa wengine wana high *** drive hizo wiki sita ni nyingi mno :) huwa wanajiribisha na mama kama yuko okay basi wanadunda tu :)
 
Thank you all for your nice and educative contribution. Mungu awazidishie baraka tele.
 
Mama kweli unastahili kuitwa mama!

WoS, Mrembo, Mwawado and all

This is my responsibility as a mother. I wish I can give more from my experiences.

Do you think we need special forums for these issues, if so you make a suggestion and we lobby our request to moderators. I think it will be nice if we exchange ideas na experiences about antenatal and postnatal issues.
 
WoS, Mrembo Mwawado and all

This is my responsibility as a mother. I wish I can give more from my experiences. Do you think we need special forums for these issues, if so you make a suggestion and we lobby our request to moderators. I think it will be nice if we exchange ideas na experiences about antenatal and postnatal issues.

On my side I posively agree with that.
 
WoS, Mrembo, Mwawado and all

This is my responsibility as a mother. I wish I can give more from my experiences.

Do you think we need special forums for these issues, if so you make a suggestion and we lobby our request to moderators. I think it will be nice if we exchange ideas na experiences about antenatal and postnatal issues.

Mama, I totally agree about having the special forum.
 
Nami naungana na wenzangu Lorain na Triplets kuomba kuwepo na forum ya maswala hayo ya Ustawi wa jamii.Kuhusu jina inakuwa ngumu,lakini pia Mama na wengine mnaweza kufikiria Jina lolote zuri ambalo halitachochea Hisia za watu na kuingia humo kama kule kwenye threads zetu na akina Kibunango.
 
WoS, Mrembo, Mwawado and all

This is my responsibility as a mother. I wish I can give more from my experiences.

Do you think we need special forums for these issues, if so you make a suggestion and we lobby our request to moderators. I think it will be nice if we exchange ideas na experiences about antenatal and postnatal issues.

Mama,you are so nice.Hii special forum ni muhimu mno kwa ajili ya kudumisha ndo zetu.Lack of knowledge and experience inavunja ndoa bwana.We must get somewhere to learn on how to please our mates and make our marriages last longer!
 
Great,

But we don't need something exceptional/extraordinary, just call it "Mambo ya Baba na Mama; Ushauri Mama on such forum.

Mfano, sikupata mchango wowote kuhusu issue ya wanandoa kuanza ngono ndani ya siku 10 tu toka mama ajifungue. I expected to get some views and I am actually still waiting for different experiences from those in the game! Let's have the forum so that we can keep the topics on!
 
Pole, sikuiona hiyo though hapa utakuwa umepata kidogo.

Mambo ya baba na mama nadhani inaingia kwenye mapenzi na mahusiano, ila haya mambo ya ujauzito hadi malezi ya watoto hayana sehemu maalum, na ndio linalokusudiwa hapa.
 
Mama,you are so nice.Hii special forum ni muhimu mno kwa ajili ya kudumisha ndo zetu.Lack of knowledge and experience inavunja ndoa bwana.We must get somewhere to learn on how to please our mates and make our marriages last longer!

Calnde ni kweli usemavyo, lakini how to please our mates nayo inaingia kwenye jukwaa la mapenzi na mahusiano, hapa inakusudiwa jukwaa maalum kwa mambo ya ujauzito na malezi ya watoto kwa ujumla. Au unamaanisha kubalance love baina ya mwenza na mtoto?
 
Pole, sikuiona hiyo though hapa utakuwa umepata kidogo.

Mambo ya baba na mama nadhani inaingia kwenye mapenzi na mahusiano, ila haya mambo ya ujauzito hadi malezi ya watoto hayana sehemu maalum, na ndio linalokusudiwa hapa.

Mimi nilidhani kwa kuongelea baba na mama tunaenda kwa mapana yake! Kama haiwezi kuwa hivyo basi tuite, "Baba, Mama na Mtoto". Hivi vitu vitatu viongelewe kwa pamoja. Nahofia isiishie kwenye mama na mimba tukamwacha baba kando. Na hilo ndo limekuwa tatizo kubwa kwa kuangalia mambo ujauzito kama suala la mama tu! Huwezi kuamini hata hospitali za binafsi (private) bado hawatoi ruhusu baba kuingia labour room. Huo ni mfano mmoja tu lakini ipo mingi ya namna hiyo.
 
Kwa asili ya kabila langu mama anakaa miezi 3 bila kukaribiana na mume wake....hata chakula haruhusiwi kumuandalia.
Kwa mawazo yangu nadhani ni vema mama akampuzika hadi mzunguko wake wa mwezi utaporejea, nadhani yaweza kuwa majuma sita hivi.
 
Mkuu bora kwenu ni miezi mitatu......kwenye mila na desturi za kabila letu, hutakiwi kumgusa mkeo huko downstairs mpaka baada ya miezi 12 hivi! ambapo hapo unaruhusiwa kuanza kumtafuta mwingine!
 
Kwa asili ya kabila langu mama anakaa miezi 3 bila kukaribiana na mume wake....hata chakula haruhusiwi kumuandalia.
Kwa mawazo yangu nadhani ni vema mama akampuzika hadi mzunguko wake wa mwezi utaporejea, nadhani yaweza kuwa majuma sita hivi.

Kuna akina mama wengine wanaanza mzunguko ndani ya wk 4 tu toka kujifungua, na hao itakuwaje? Body physiology and diseases never read books! Ukisema wk 6, sawa tu, lakini hizo ni za vitabuni. Kuna watu wana watoto ambao wanatofautiana kwa miezi kama 10 tu, ikiwa na maana kuwa mama alipata mimba mwezi mmoja tu baada ya kujifungua!! Ongelea mambo yanayotokea kwenye uwanja wa mapambano!
 
WoS, Mrembo, Mwawado and all

This is my responsibility as a mother. I wish I can give more from my experiences.

Do you think we need special forums for these issues, if so you make a suggestion and we lobby our request to moderators. I think it will be nice if we exchange ideas na experiences about antenatal and postnatal issues.

Mama,
You make us proud!
nakuunga mkono wewe na wale wote walioona umuhimu wa kuwa na forum/jukwaa maalum la kubadilishana uzoefu.Humu JF kuna hazina kubwa sana ya mafundisho ya maisha.Kila mwanachama anao uzoefu wa maisha na kwa kuchangiana mawazo tutakuwa tunafaidika kwa sana.Binafsi napendekeza hiyo forum iitwe " Jungu Kuu halikosi ukoko" kwa maana ya kwamba humu ndani ya forum( jungu kuu) kuna uzoefu,hazina, tunu na manufaa mengi yanayoweza kufaa when a need arises (ukoko) kwa watu wengi wenye kuhitaji.
Ni mawazo yangu.
WoS!
 
Kwangu mimi personally baada ya kuona ile mshike mshike ya delivery room na mtoto alivyotoka n.k. niliamua kusubiri mpaka bibie awe tayari....na ilichukua kama miezi sita hivi.
 
Mama,
You make us proud!
nakuunga mkono wewe na wale wote walioona umuhimu wa kuwa na forum/jukwaa maalum la kubadilishana uzoefu.Humu JF kuna hazina kubwa sana ya mafundisho ya maisha.Kila mwanachama anao uzoefu wa maisha na kwa kuchangiana mawazo tutakuwa tunafaidika kwa sana.Binafsi napendekeza hiyo forum iitwe " Jungu Kuu halikosi ukoko" kwa maana ya kwamba humu ndani ya forum( jungu kuu) kuna uzoefu,hazina, tunu na manufaa mengi yanayoweza kufaa when a need arises (ukoko) kwa watu wengi wenye kuhitaji.
Ni mawazo yangu.
WoS!

Nimemuandikia Invisible kumwomba kama kuna slot atupatie na sie jukwaa. Hajanijibu bado. Akinijibu, kama atakuwa amekubali nitampa hilo jina, na mie nimelipenda pia. Humo tunawea ingiza pia mambo ya mapishi, au vipi?
 
Nimemuandikia Invisible kumwomba kama kuna slot atupatie na sie jukwaa. Hajanijibu bado. Akinijibu, hilo jina, na mie nimelipenda pia.

Mama et al,

Hilo jina (Jungu kuu ...) ni zuri. Hata hivyo nahofia linakuwa too general! Kama tunataka kujadili mambo ya Uzazi kama tulivyosema, basi tutafute jina ambalo baadaye halitaingiziwa thread zenye hadithi za paukwa pakawa.
 
DC,
Hebu tupe wazo basi badala ya kuishia kuona jina hilo litakuwa too general.Mantiki ya hilo jina ni kuwa mambo nyeti kama hayo ya uzazi, malezi na mawaidha yake isingekuwa busara kuweka jina ambalo ni wazi sana maana tutakuwa tunafanana na yale taliyomo kwenye " mambo ya kikubwa" na sidhani tutakuwa tumesitiri na kustahi kile tunachotaka kuchangia... maana siyo wote tunaopenda kuchangia kwenye jukwaa kama hilo..nadhani nimeeleweka bila kuweka wazi sana.
 
Back
Top Bottom