BAADA YA TALAKA NAOA MKE MPYA! Ni nani??

BAADA YA TALAKA NAOA MKE MPYA! Ni nani??

hapana!!
Nampenda sana rutta wangu,enzi hzo twaenda drive inn kuangalia movie ya andaz na draculla au ddc kucheza sendema ya motto mithili ya washawasha.
Au pale langa'ta kinondoni,
cwez kumtupa.

rutta zilipendwa
 
mahabuba rutta,
roho ya usaliti inanizidi nguvu.
Au huyu Arushaone kaniroga?
Mbona naanza kuhisi dalili ya kumkubali?
Hebu kaza uzi utanikosa wangu.
Aagghrrr...!!!
Jitahidi.

ah lawyer!
 
Last edited by a moderator:
bora uje umpe neno.
Arushaone njoo huku kuna maujumbe yako toka ktk kitabu kitakatifu..

kitabu kitakatifu kinasema "pendaneni kama nilivyowapenda" natimiza andiko takatifu.
 
Last edited by a moderator:
Kwa kauli hii , kiutu uzima si ni habari zimekwisha?

UMEONA EEH. SASA MZEE WA HUKUMU A.K.A. ROCK CITY ONE MWENYEWE UMESHUHUDIA MTOTO KAJA KWANGU NA NIANDALIE MAPOKEZI MWEZI UJAO NAKULETEA SHEMEJIYO Madame B.
 
uoni huyo kijana anajaribu kunishika sharubu?

ruttashobolwa kiukweli kabisa me nimekuzidi everything. Nina ph.d kutoka berkeley univ. San fransisco ca. Ni prof. Wa unv. I have evrythng & now i have madame b!!!
 
kwanza unanitaka mimi wakati kunamtu umem-wish as ure love.
Hapa ni :fencing::fencing: Mpaka kieleweke.
Mshindi anaondoka na mimi.

aje hapa! Ingawa wanasema "you don't have to fight to be a man" nitatumia hata gun
 
UMEONA EEH. SASA MZEE WA HUKUMU A.K.A. ROCK CITY ONE MWENYEWE UMESHUHUDIA MTOTO KAJA KWANGU NA NIANDALIE MAPOKEZI MWEZI UJAO NAKULETEA SHEMEJIYO Madame B.

Kwa hapa mlipofikia si rahisi mimi kutia neno!
Ninyi paruraneni hapo mtakapofikia Resolution mtatufahamisha.
Coz mchakato wenu umekaa kiaina yake .
 
Haya bana,naona nshomile kashikwa pabaya leo Madame B vyovyote itakavyokuwa naahidi kuwa msiri wako mtiifu...
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Yfu ebu jipare tutoke,nataka tuainze weekend leo. Ungependa tuanzie wapi?
 
Back
Top Bottom