BAADA YA TALAKA NAOA MKE MPYA! Ni nani??

yani hata pete ya ndoa haijapoteza ualmasi wake kidoleni eti niivue,jamaniiii...,
mbona ananichanginyi???

itoe na umwachie hapo mezani na ujumbe wa kumuaga kabisa. Ntakupa ile isiyochuja mpenzi.
 
shark siyo tu kismati vilevile msimamo. Najifunza kwa asprin alivyo na msimamo.

Ehee, usiige ku pooh kwa ndovu, na ukimwona nyani mzee ujue kakwepa mishale mingi, , kile kibabu Asprin kiache kama kilivyo, busara iko lala pale, angekuwa mkurupukaji na tabia yake ya kukaguakagua ile angekuwa ashazikwa enzi zile Tanganyika inaitwa mrima
 
Last edited by a moderator:
images

Baada ya kuachana na ndoa ya MATESO ya Mamndenyi nimekaa na halmashauri ya kichwani mwangu na nimemchagua Madame B kuchukua nafasi hiyo. Namuahidi kumpenda naye anipende kama Beibe Nasty anavyopendana na Judgement, Asprin na wakeze nk AJE SASA M.B.
 
pombekali hakyamungu sibanduki hata kwa bunduki mtaniua tu hapa.

Kaizer eeeeh!, njoo huku kuna mtu anahitaji maombi, ni Arushaone, amepandwa na pepo la kupenda wake za watu, unapokuja uwe umepitia kaunta kabisa maana ni mtata, nahisi amekula ile kitu cha arusha!
 
Last edited by a moderator:
itoe na umwachie hapo mezani na ujumbe wa kumuaga kabisa. Ntakupa ile isiyochuja mpenzi.

Arushaone kumbuka Rutta amenitoa mbali sana enzi hzo navaa kokoko huku nina sketi ya Chilimeni na juu nina usongo wa Kasiki.
Roho inaniuma jama.
 
Last edited by a moderator:
Ruhazwe hajaoa na hawezi kukusahau maishani mwake,
hata mimi mama lile gari ulilonipa ndo linalosaidia kufanya kazi za shamba na za mifugo pale home,
hivi unawezaje kula la na baba mkwe wako Arushaone.

Nitakuangaliaje usoni nikikutana na wewe njiani mkwe?
Kwani mwanao Ruhazwe alishaoa?
Nimem-miss mwanao,japo ni zilipendwa wangu.
 
Ruhazwe hajaoa na hawezi kukusahau maishani mwake,
hata mimi mama lile gari ulilonipa ndo linalosaidia kufanya kazi za shamba na za mifugo pale home,
hivi unawezaje kula la na baba mkwe wako Arushaone.

Lakini mkwe,
si nimeshaachana na kijana wako?
Halafu kumbuka Arushaone kamkuta Ruhazwe umeshamzaa na baba mwingine.
Hvyo kiuhalali si baba mkwe wangu kiuhalali,ni jina tu kwa kuwa alikuwa anaishi na wewe mkwe.
Ni shetani tu kanipitia.
Ila mwambie baba Arushaone hata hvyo mimi nina wangu ruttashobolwa.
 
Last edited by a moderator:
Arushaone ni serengeti boy, atakupotezea muda bure.

Ruttashobolwa ni kijana mzuri tulia naye tu,
japo ndo amemaliza kusoma master yake nina imani
mtakuwana maisha mazuri sana baadae.

Lakini mkwe,
si nimeshaachana na kijana wako?
Halafu kumbuka Arushaone kamkuta Ruhazwe umeshamzaa na baba mwingine.
Hvyo kiuhalali si baba mkwe wangu kiuhalali,ni jina tu kwa kuwa alikuwa anaishi na wewe mkwe.
Ni shetani tu kanipitia.
Ila mwambie baba Arushaone hata hvyo mimi nina wangu ruttashobolwa.
 
Baada ya kuachana na ndoa ya MATESO ya Mamndenyi nimekaa na halmashauri ya kichwani mwangu na nimemchagua Madame B kuchukua nafasi hiyo. Namuahidi kumpenda naye anipende kama Beibe Nasty anavyopendana na Judgement, Asprin na wakeze nk AJE SASA M.B.

Basi makubwa. Mia
 
Kabla sijaamini ukisemacho, hebu kwanza nipe kopi ya hii makitu...ulompa Mamndenyi

attachment.php

Kabla sijashuhudia haya makitu... toka kwa ruttashobolwa

558170_429363400447935_1949882419_n.jpg
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom