BAADA YA TALAKA NAOA MKE MPYA! Ni nani?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

BAADA YA TALAKA NAOA MKE MPYA! Ni nani??

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Arushaone, Sep 11, 2012.

 1. Arushaone

  Arushaone JF-Expert Member

  #1
  Sep 11, 2012
  Joined: Mar 31, 2012
  Messages: 14,159
  Likes Received: 361
  Trophy Points: 180
  Baada ya kuachana na ndoa ya MATESO ya Mamndenyi nimekaa na halmashauri ya kichwani mwangu na nimemchagua Madame B kuchukua nafasi hiyo. Namuahidi kumpenda naye anipende kama Beibe Nasty anavyopendana na Judgement, Asprin na wakeze nk AJE SASA M.B.
   
 2. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #2
  Sep 11, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,059
  Likes Received: 3,805
  Trophy Points: 280
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 3. cacico

  cacico JF-Expert Member

  #3
  Sep 11, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 8,392
  Likes Received: 127
  Trophy Points: 160
  Khaaaaaaaaaa! Unaacha na kuoa hapo hapo? Haya madame b!
   
 4. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #4
  Sep 11, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 23,439
  Likes Received: 3,236
  Trophy Points: 280
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 5. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #5
  Sep 11, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 23,439
  Likes Received: 3,236
  Trophy Points: 280

  cacico mamito jamani,niko njia panda.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 6. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #6
  Sep 11, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,059
  Likes Received: 3,805
  Trophy Points: 280
  ha ha ha haaah!! Kwa hiyo anaweza akaanzisha vurugu??
   
 7. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #7
  Sep 11, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,506
  Likes Received: 151
  Trophy Points: 160
  Hadi unatangaza ndoa umekuwa screened, hebu watafute Erickb52 na Mamdenyi, then pitia kwa Kaizer na BADILI TABIA, hatutaki mgombane hapa, ukitimiza vigezo utapewa go ahead!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 8. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #8
  Sep 11, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 23,439
  Likes Received: 3,236
  Trophy Points: 280
  Jinsi alivyonihangaikia mpaka kunitia mikononi,sidhani kama upepo utakuwa mzuri.
  Ngoja nimuamshe....
   
 9. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #9
  Sep 11, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  :biggrin1: ukiona hivyo ujue tayari walikua na mambo yao ya kichini chini jamaa kashindwa kuvumilia kaamua kutuanikia
   
 10. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #10
  Sep 11, 2012
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 17,338
  Likes Received: 3,615
  Trophy Points: 280
  Una kismati sana, yaani kuacha tu ushapata mwengine!!
  Mi nina mwaka wa pili sasa nahesabu vibuti tu hapa JF.

  Mpaka juzi vilifikia mia
   
 11. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #11
  Sep 11, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,023
  Likes Received: 5,193
  Trophy Points: 280
  ruttashobolwa kuna rijamaa rinahitaji urifungurie kesi ya jinai...............rorrr!!!!!!!!!!!!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 12. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #12
  Sep 11, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,023
  Likes Received: 5,193
  Trophy Points: 280
  kamati imekataa ombi lake, haiwezekani kuoa mke wa mtu....


   
 13. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #13
  Sep 11, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 23,439
  Likes Received: 3,236
  Trophy Points: 280
  Yani hata Pete ya ndoa haijapoteza ualmasi wake kidoleni eti niivue,jamaniiii...,
  mbona ananichanginyi???
   
 14. Arushaone

  Arushaone JF-Expert Member

  #14
  Sep 11, 2012
  Joined: Mar 31, 2012
  Messages: 14,159
  Likes Received: 361
  Trophy Points: 180
  BADILI TABIA Hakiyamungu hapo unajisumbua hapa ndipo niliponasa na sibanduki
   
 15. Arushaone

  Arushaone JF-Expert Member

  #15
  Sep 11, 2012
  Joined: Mar 31, 2012
  Messages: 14,159
  Likes Received: 361
  Trophy Points: 180
  thubutuu!! Ruttashobolwa nishamtumia kombora la kiajemi na huenda usimsikie tena hapa.
   
 16. Arushaone

  Arushaone JF-Expert Member

  #16
  Sep 11, 2012
  Joined: Mar 31, 2012
  Messages: 14,159
  Likes Received: 361
  Trophy Points: 180
  ewe mpenzi mahabuba wangu, pumbazo la moyo wangu, usimuhofie huyo. Kam zis way nikupe vi2z. Asikutishe mtu.
   
 17. Arushaone

  Arushaone JF-Expert Member

  #17
  Sep 11, 2012
  Joined: Mar 31, 2012
  Messages: 14,159
  Likes Received: 361
  Trophy Points: 180
  mtotowamjini ukiona hivyo ni kweli yamenifika. Na kuonesha msisitizo nimeziba nafasi.
   
 18. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #18
  Sep 11, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,506
  Likes Received: 151
  Trophy Points: 160
  Usipobanduka sisi wa kamati ya maombi na Kaizer TUTAKUBANDUA tu, ngoja nipate ka valuer nivute upako
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 19. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #19
  Sep 11, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,506
  Likes Received: 151
  Trophy Points: 160
  Vizuri sana, kazi nzuri, haiwezekani mtu ajitangazie tu nia kwa mke wa mtu afu hata kwenye kamati hajapita, ina maana hatambui majukumu tuliopewa na mkuu Baba V!?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 20. Arushaone

  Arushaone JF-Expert Member

  #20
  Sep 11, 2012
  Joined: Mar 31, 2012
  Messages: 14,159
  Likes Received: 361
  Trophy Points: 180
  shark siyo tu kismati vilevile msimamo. Najifunza kwa asprin alivyo na msimamo.
   
Loading...