Samia atosha tukutane2030
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 17,169
- 48,681
Tanzania inaendeshwa kwa mujibu wa Sheria na kanuni .
Kuandamana ni haki ya kila Mtanzania ila ni haki ya serikali kupinga au kukataa maandamano kwa sababu za kiusalama na kijamii.
Hakuna serikali itakayotoa kibali cha maandamano ya kuiondoa serikali husika.
Mngetaka kuiondoa mngepiga kura na kushiriki uchaguzi ipasavyo.
Kama kuna makosa makubwa Rais amefanya bunge au majaji wamepewa Uhuru wa kufanya mchakato wa kumtoa Rais na si wahuni na vibaraka wa Ulaya .
Nyie vibaraka mkiweka pua tu tutazikata na kitakachofuata wake zenu watalia then wataliwa hovyo kwasababu ya maisha magumu huku ninyi mmeshakuwa mavumbi.