Tsh
JF-Expert Member
- Aug 26, 2021
- 21,764
- 46,713
DUH.Wajadili uwekezaji wa Tesla..
DUH.Wajadili uwekezaji wa Tesla..
Definitely.....Watamrejesha kama yule referee wa kisomali aliyekwenda world cup 2026
Kama wanataka kumkamata unafikiri wanashindwa kwenda kumchomoa pale pale magogoni?Atakamatwa kibwege sana
Hahaa mimi namzuaje asiende? Asubiri kupigwa ban kama al bashirItakuwa kuna kitu mnakificha ndio maana hamtaki aende.
Kumbe mabeberu wa west mnawapenda kuliko Putin. Mshauri aende kwa Kiduku au IranAtakwenda tu na uhusiano wa Tanzania na Marekani utaendelea kuwa mzuri tu.
Hivi,unaichukulia USA kama sebuleni kwa mjomba wako mchoma nyama wa Vingunguti?Piga porojo tu.Atakwenda tu na uhusiano wa Tanzania na Marekani utaendelea kuwa mzuri tu.
Wao wanatupenda zaidi ndio maana hawajaacha kuwataja taja China na Russia kwenye huo muswada wao.Kumbe mabeberu wa west mnawapenda kuliko Putin. Mshauri aende kwa Kiduku au Iran