AOMBE! ziara ya hata siku moja itatosha, Lazima Marekani wampokee.😂😂😂
Makubwa tena hayaBaada ya kutoka Russia samia aende Marekani.
Watamwalika kwakuwa Russia na Marekani ni mahasimu.
Marekani naye atataka kupata vile ambavyo Tanzania na Russia walikubaliana.
Aombe ziara ya hata siku moja itatosha, Lazima Marekani wampokee.
USA wana file lake la mauaji ya Oct 29, 2025.Baada ya kutoka Russia samia aende Marekani.
Watamwalika kwakuwa Russia na Marekani ni mahasimu.
Marekani naye atataka kupata vile ambavyo Tanzania na Russia walikubaliana.
Aombe ziara ya hata siku moja itatosha, Lazima Marekani wampokee.
Kwa kawaida diaspora wa mange wakijikusanya hawafiki hata kumi.Atapata aibu, watanzania waishio Marekani wanaopinga mauaji yake, lazima wataandamana na jumbe mbalimbali kwenye mitaa atayokuwepo. Marekani ni Marekani.
Kingine ni kwamba; hawezi kwenda Marekani kipindi ambacho bunge lipo kwenye muswada dhidi ya utawala wake wa kiimla.
Wajadili uwekezaji wa Tesla..Afanye mdahalo live na D. Trump wamualike na E.Musk
Dr wa nn?!.Hongera kwa Dr.Samia
Makonda ni waziri...kukuza sekta yetu ya michezo aandamane nae akafungue njia kwa vijanaPunguza masihara kwenye mambo serious.
Kwa kawaida diaspora wa mange wakijikusanya hawafiki hata kumi.
Kama mnyakuzi wa wauwaji watanganyika.Wewe kama nani?
Samia sio rais , hakukua na uchaguzi 2025 .Rais wa Taifa huru akitembelea Taifa huru.