Basi huyo Mungu aliyekupa kazi ana upendeleo. Achana na Mungu mwenye upendeleo, omba tu mizimu yako ikuongoze.Habari wakuu,
Kwenye uzi huu nilieleza jinsi ambavyo nilikula msoto kwa miezi sita bila kazi. Kulikuwa na muda nakosa hata shilingi 100—ndiyo, shilingi 100 hii hii. Wakati huo pia nilikuwa naota ndoto nipo shule ya msingi.
Remember hapo nimepoteza kazi ya kuajiriwa ambayo nilikuwa na uwezo wa kupata 1.2M.
Kuhusu ndoto ya shule ya msingi ni kawaida tu huwa naota tupo darasani n.kKuota upo shule ya msingi pekee haitoshi sababu ulipaswa useme
1. Ulikuwa unafanya nini
2. Ulikuwa na nani?
3. Asubuhi, mchana au jioni
4. Ulikuwa darasani, nje ya darasa
5. Mwanafunzi wa shule hiyo? Ulisomaga hapo?
Ila Kuhusu ndoto ya kuota kijijini kwetu nakumbuka ndoto mbili,
-kuota nimekamatwa na polisi huku nimevaa mavazi ya wafungwa
-Kuota nipo na mama,baba tunatoka kulima kwenye mashamba ya watu.
Binafsi nadoubt kwa sababu mambo yangu yakiwa yanaenda vizuri huwa sioti hivo,huwa naota hivo pale tu...
Sasa naomba niendelee.
Basi, nimefanya interview si chini ya 15, na nyingine nilibargain mshahara mdogo ukilinganisha na uzoefu wangu, lakini bado sikufanikiwa.
Kuna siku nikaamka ndani hakuna chakula, na usiku wake tulikuwa tumekunywa chai tu.
Nikasema niende beach angalau nikaoge maji ya chumvi niondoe mikosi. 😂
Sasa bwana, nimefika njiani sendo ikakatika upande mmoja. Nikajua nikitembea hadi beach itakatika yote, hivyo nitarudi miguu peku. Nikaamua kugeuka nirudi home.
Njiani nikapita Kanisa Katoliki, nikaona bango linaonyesha kuna kongamano la maombi la Karismatiki. Kwa kuwa nilikuwa nimevaa pensi, nikapanga kesho yake nihudhurie.
KILICHOTOKEA KWENYE MAOMBI
DAY 1: Hakikutokea chochote.
DAY 2: Wakati mtumishi anaomba, nilikuwa nimesimama. Nikaanza kutetemeka mikono, nikahisi labda ni kwa sababu nilikuwa nimeinyanyua muda mrefu wakati wa maombi. Nilivyotoka pale, nikakuta nimetumiwa email ya online interview na kampuni ya nje ya Tanzania lakini inaoperate hapa Tanzania.
DAY 3: Ilikuwa siku ya interview, hivyo nikasema nikimaliza online interview sitaenda kwenye maombi.
Hivyo, one hour before interview nikasema nifanye maombi ya angalau dakika tano. Baada ya kama dakika tatu, nikajikuta natamka, "Kwa jina la Yesu, kwa jina la Yesu," huku nimeinua mikono juu. Ghafla nikaanza kutetemeka mikono tena kwa nguvu.
Nikatetemeshwa mwili wote, na mikono yangu ikawa inatembea yenyewe, inanigusa kuanzia mabegani, kifuani, tumboni hadi kwenye mapaja. Baadaye hali hiyo ikapoa, nikafanya interview ya online.
Siku iliyofuata nikaamka sina hela kabisa. Mke wangu akaomba hela kwa baba mkwe (what a shame). Tukala, kisha nikaenda maombi tena.
DAY 4: Nikaenda maombi, na safari hii sikutetemeka. Kesho yake nikapata email ya second interview (physical).
Kiufupi, hadi naandika hii, nipo kazini. Nimeshasaini mkataba, naendelea na training, na nimepokelewa vizuri sana hapa kazini. Kilichobaki kwangu ni kudeliver impact kwenye kazi.
I'm sorry kama sijaandika vizuri.
N.B.: Mimi nimeshare experience yangu, na andiko hili lisionekane kama napigia chapuo dini fulani.
somo ganiEl marabiosh njoo upate somo kidogo hapa!
Hongera sanaHabari wakuu,

La muujiza wa mleta madasomo gani
Bro hamna mtu aliekukataza kuamini unachoamini wewe, ndio maana inaitwa IMANI.Maombi au jitihada za kutafuta kazi na kufanya interviews bila kuchoka?
Umaskini wa waafrika ndio unawafanya waone kupata kazi ni Mungu.Punguzeni ujuaji jamani kila mmoja anaamini anachoona kwake ni sawa.
Kuna watu wanaamini hadi milima wanaomba na wanajibiwa .kuna ambao hawaamini kama mungu yupo wote wapo sahihi haina haja ya kulazimisha mawazo yako ndio yawe sahihi
Umaskini wa Afrika na Ukosefu wa ajira ndio unawafanya waafrika wengi waone kupata kazi ni Mungu.Bro hamna mtu aliekukataza kuamini unachoamini wewe, ndio maana inaitwa IMANI.
Unachoamini wewe uko sawa, na anachoamini mtu mwingine yupo sawa pia. Unavoamini ni jitihada upo sawa kabisa na yeye anavoamini ni maombi yupo sawa kabisa. 👍
Uko sawa pia broUmaskini wa Afrika na Ukosefu wa ajira ndio unawafanya waafrika wengi waone kupata kazi ni Mungu.
Kumbe ni utawala mbovu na ujinga wa Serikali na viongozi wa Afrika.
Wale wa ndoto za shule ya msingi kutishana ni chai tu ?Habari wakuu,
Kwenye uzi huu nilieleza jinsi ambavyo nilikula msoto kwa miezi sita bila kazi. Kulikuwa na muda nakosa hata shilingi 100—ndiyo, shilingi 100 hii hii. Wakati huo pia nilikuwa naota ndoto nipo shule ya msingi.
Remember hapo nimepoteza kazi ya kuajiriwa ambayo nilikuwa na uwezo wa kupata 1.2M.
Kuhusu ndoto ya shule ya msingi ni kawaida tu huwa naota tupo darasani n.kKuota upo shule ya msingi pekee haitoshi sababu ulipaswa useme
1. Ulikuwa unafanya nini
2. Ulikuwa na nani?
3. Asubuhi, mchana au jioni
4. Ulikuwa darasani, nje ya darasa
5. Mwanafunzi wa shule hiyo? Ulisomaga hapo?
Ila Kuhusu ndoto ya kuota kijijini kwetu nakumbuka ndoto mbili,
-kuota nimekamatwa na polisi huku nimevaa mavazi ya wafungwa
-Kuota nipo na mama,baba tunatoka kulima kwenye mashamba ya watu.
Binafsi nadoubt kwa sababu mambo yangu yakiwa yanaenda vizuri huwa sioti hivo,huwa naota hivo pale tu...
Sasa naomba niendelee.
Basi, nimefanya interview si chini ya 15, na nyingine nilibargain mshahara mdogo ukilinganisha na uzoefu wangu, lakini bado sikufanikiwa.
Kuna siku nikaamka ndani hakuna chakula, na usiku wake tulikuwa tumekunywa chai tu.
Nikasema niende beach angalau nikaoge maji ya chumvi niondoe mikosi. 😂
Sasa bwana, nimefika njiani sendo ikakatika upande mmoja. Nikajua nikitembea hadi beach itakatika yote, hivyo nitarudi miguu peku. Nikaamua kugeuka nirudi home.
Njiani nikapita Kanisa Katoliki, nikaona bango linaonyesha kuna kongamano la maombi la Karismatiki. Kwa kuwa nilikuwa nimevaa pensi, nikapanga kesho yake nihudhurie.
KILICHOTOKEA KWENYE MAOMBI
DAY 1: Hakikutokea chochote.
DAY 2: Wakati mtumishi anaomba, nilikuwa nimesimama. Nikaanza kutetemeka mikono, nikahisi labda ni kwa sababu nilikuwa nimeinyanyua muda mrefu wakati wa maombi. Nilivyotoka pale, nikakuta nimetumiwa email ya online interview na kampuni ya nje ya Tanzania lakini inaoperate hapa Tanzania.
DAY 3: Ilikuwa siku ya interview, hivyo nikasema nikimaliza online interview sitaenda kwenye maombi.
Hivyo, one hour before interview nikasema nifanye maombi ya angalau dakika tano. Baada ya kama dakika tatu, nikajikuta natamka, "Kwa jina la Yesu, kwa jina la Yesu," huku nimeinua mikono juu. Ghafla nikaanza kutetemeka mikono tena kwa nguvu.
Nikatetemeshwa mwili wote, na mikono yangu ikawa inatembea yenyewe, inanigusa kuanzia mabegani, kifuani, tumboni hadi kwenye mapaja. Baadaye hali hiyo ikapoa, nikafanya interview ya online.
Siku iliyofuata nikaamka sina hela kabisa. Mke wangu akaomba hela kwa baba mkwe (what a shame). Tukala, kisha nikaenda maombi tena.
DAY 4: Nikaenda maombi, na safari hii sikutetemeka. Kesho yake nikapata email ya second interview (physical).
Kiufupi, hadi naandika hii, nipo kazini. Nimeshasaini mkataba, naendelea na training, na nimepokelewa vizuri sana hapa kazini. Kilichobaki kwangu ni kudeliver impact kwenye kazi.
I'm sorry kama sijaandika vizuri.
N.B.: Mimi nimeshare experience yangu, na andiko hili lisionekane kama napigia chapuo dini fulani.
Kwa hiyo ulivyo tetemeshwa ndio ukapata kazi?Mkuu Infropreneur Mimi nakubaliana na wewe kwamba fursa za kazi Africa ziko limited lakini pia hata nje Kuna changamoto ya kazi pia ukitaka kuthibitisha hilo ingia YouTube andika SUBLIMINAL TO GET YOUR DREAM JOB yaan Kuna nyimbo za kufanya meditation ili upate kazi, ukienda kwenye hizo video fungua sehemu ya comments uone wazungu wanavolalamika kwa kukosa kazi muda mrefu kwahiyo utagundua unemployment is the global issue
Kitu kingine nakubaliana na wewe ni kuwa ukiendekeza maombi Kuna vitu vingine vinavyohitaji logic utataka kuvisolve kiimani jambo ambalo pia linakwamisha.
Okay Sasa tujenge uelewa wa pamoja Sasa kwa hicho kilichonitokea Wakati nimeingia kwenye maombi,
mkuu unajua nilitetemeshwa na kabla ya kutetemeshwa nilikuwa najisikia nataka kulia na hiyo hali siwezi kuizuia yan,halafu mikono inatembea yenyewe kuanzia kichwani hadi mabegani hadi kifuani hadi tumboni hadi kwenye mapaja then mchaksto unaanza tena opposite Kuna mikono inajiachia kama ndege anayepaa huku inatetemeka kwa nguvu,
Mimi muda huo nasema tu kwa JINA LA YESU maana hadi niliishiwa maneno
Kuhusu hii hali iliyonitokea je wewe unaizungumziaje?