Baada ya maombi nimepata kazi,ashukuriwe Mungu

I'm sorry kama sijaandika vizuri.

N.B.: Mimi nimeshare experience yangu, na andiko hili lisionekane kama napigia chapuo dini fulani.
Wewe endelea kumfanya maombi mkuu mimi subiri nikaangalie maeneo gani kuna Makebo makubwa nimalizane nayo.

Hongera kwa kupata kazi.
 
Mungu anajibu maombi mimi pia kuna taasisi ipo kwenye maombi yangu zaidi ya mwaka naamini Mungu atanipatia nitakuja kutoa ushuhuda hapa.
Unaweza kujikuta unapata fursa sehemu tofauti na hiyo unayoilenga
 
Bwana mdogo usimwache MUNGU kilele cha kongamano la karismatic lilikuwa ni leo mpaka mwakani tena

Endelea kusali na kutembelea nyumba za ekarist kila siku

Kwa Jimbo la dar ziko parokia ya st Joseph na parokia ya magomeni

MUNGU akubariki sana
 
Kanyaga twende kiongozi piga kazi.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Bwana mdogo usimwache MUNGU kilele cha kongamano la karismatic lilikuwa ni leo mpaka mwakani tena

Endelea kusali na kutembelea nyumba za ekarist kila siku

Kwa Jimbo la dar ziko parokia ya st Joseph na parokia ya magomeni

MUNGU akubariki sana
Yeah upo sahihi mkuu kilele ilikuwa ni Leo,ila hili kongamano sitolisahau maishani mwangu
Kwahiyo kumbe kongamano huwa ni mara moja kwa mwaka?
 
Bwana mdogo usimwache MUNGU kilele cha kongamano la karismatic lilikuwa ni leo mpaka mwakani tena

Endelea kusali na kutembelea nyumba za ekarist kila siku

Kwa Jimbo la dar ziko parokia ya st Joseph na parokia ya magomeni

MUNGU akubariki sana
Naomba unieleweshe hapo kwenye nyumba za ekaristi mkuu
 
Back
Top Bottom