Baada ya Magufuli, 2025 Makonda atatufaa sana kwasababu ana uthubutu kuliko hata JPM!

Wanabodi,
Kabla Magufuli hajawa rais wetu, sisi wengine wenu tulijua tangu mwaka 2014 na tukasema humu!.Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe Magufuli

Miongoni mwa sifa zilizomuibua Magufuli ni sifa inayoitwa "uthubutu" unreasonably ambayo wengine huita ni udikiteta. Yaani kuachana na mambo ya kufuata sheria, taratibu na kanuni, ndiyo yametufikisha hapa, hawa viongozi wenye "uthubutu" hawahitaji kujua sheria, taratibu na kanuni, zinataka nini, bali hufanya lile linalowezekana,

Ndio maana tukasema humu, japo Magufuli kweli ni dikiteta, Tanzania mahali ilipofika ilimhitaji mtu kama Magufuli na Mwenyeenzi Mungu akaisikia sala yetu, akatupatia Magufuli!.
Magufuli ni Dikiteta!, Tanzania Ilihitaji Dikiteta, Tumempata!. Atakayeleta Fyoko, Ataisoma Namba!

Tukija kwa Makonda, muda mfupi baada ya kuteuliwa DC wa Kinondoni, akaonyesha uwezo, hivyo kama ilivyokuwa kwa Magufuli, mwaka 2014 tulisema ni Magufuli, na mwaka 2015 kweli akawa yeye. Vivyo hivyo kwa Makonda akiwa DC, akina sisi tukasema hivi Nimemkubali Sana DC Makonda, anafaa kuwa Mkuu wa Mkoa Dar es Salaam
Na kweli haukupita muda akawa!.

Hivyo kwa hii kazi nzuri yote anayoifanya Magufuli, atakapoondoka ile 2025, kama hatamuachia nchi mtu mwenye kufuata nyayo zake, hii kazi nzuri yote ya Magufuli itakuwa ni kazi bure! . Hivyo nimeshauri Kwa Kasi hii ya Magufuli, kuna haja Kufanya Uchaguzi wa Rais 2020?

Kwa vile katiba sio Msahafu, 2025 tuibadili katiba Magufuli aendelee indefinitely kama Mugabe, mpaka atakapo choka kabisa na kuwa hawezi tena kwa incapacitation, au tumsubirie Mungu, au Tanzania sasa na sisi tuanze mtindo wa spotting na headhunting na kumfanyia grooming huyo headhunted?.

Kwa maoni yangu Makonda atatufaa sana kumpokea Magufuli, maana kiukweli kwa sababu ana uthubutu mkubwa zaidi kuliko hata Magufuli. Makonda akimpokea Magufuli ile 2025, kiukweli kabisa Tanzania itanyooka!.

Magufuli pamoja na mazuri yake, naye kama binadamu pia ana madhaifu na mapungufu yake, vivyo hivyo Makonda pia sio malaika naye ana mapungufu yake, moja ya mapungufu makubwa ya Makonda ni inferiority complex inayopelekea ku practice superiority complex na kujikuta ana over do things bila kujijua!.

Psychoanalysis: Superiority Complex ni Dalili ya Inferiority Complex!. Maneno Mafupi Vitendo Virefu.

Mfano ni jinsi anavyojikomba komba kwa rais Magufuli mpaka kupindukia, karibu kila jambo lazima amtaje rais Magufuli tena kwa majina yake yote manne na sifa zake zote nne "Rais Wetu Mpendwa Mheshimiwa Dr. John Pombe Joseph Magufuli" (si mnajua watu wa Kanda yetu kwa kupenda masifa). Makonda lazima afike mahali aonyeshe anaweza kusimama on his own na sio kila wakati kutegemea apron strings za rais Magufuli.

Hivyo 2025 rais Magufuli asipoongeza muda, Makonda atatufaa sana. Kwa vile Makonda ni Mkolomije, kwa kuanzia 2020 akalichukue lile jimbo la yule chapombe, pale Kolomije na atashinda kwa kishindo na kupewa moja ya important portfolio zenye impact, ili 2025 ampokee Magufuli.

Kitendo cha mtu wa Kanda ya Ziwa kushika urais kama alivyo rais Magufuli, ni dalili ya Tanzania kutenda haki ya wengi wape, yaani wenye haki na uhalali wa kutawala nchi ni wale walio wengi!. Hivyo baada ya rais Magufuli aje rais Makonda, na baada ya hapo tuendelee kule kule mpaka na makabila mengine nao wawe ni walio wengi ndipo nao watastahiki! .

Makonda konyesha uwezo wa uthubutu, jee mnalionaje hili la kwanini asiwe Makonda kumpokea Magufuli?.

Kwa kwa wale mashabiki wa upinzani mtanisamehe bure, kwenye urais wa Tanzania, upinzani ni bado sana.

Paskali.
Update,
Kumbe wanaoesema baada ya Magufuli, Makonda atatufaa, siko peke yangu,
Msikilize kiongozi huyu wa dini, msikilize mpaka mwisho

Viongozi wakuu wa dini, wanaletwa na MWENYEWE YEYE, hivyo baada ya kuisikia kauli kama hiyo ya kiongozi wako wa dini, wewe kama ni muumini safi na wa kweli, ni kuikubali, hiyo ni sauti ya Mungu ikinena kupitia vinywa vya Manabii, wewe ni nani upinge?.
P

Karne hii unawaza unawaza udikteta?
 
Kwenye mashindano ya urembo yanayohusisha mabinti 100, kunatafutwa top ten, ndio wanaingia fainali. Na kuna kundi la lat ten, wale kumi wa mwisho walivuta mkia. Sasa ukichukua kundi hilo la kumi wa mwisho, ukawashindanisha wao peke yao, pia kutaibuka number 1 kwenye hao kumi.

Hivi ndivyo na mimi nilivyo, kwenye ma analyst 100 wa humu jf, mimi ni wa 99, hivyo kuna angalau mmoja nimempita hivyo na mimi ni analyst na nina analytical thinking ya wale wa level yangu lile kundi la kumi la mwisho kwenye 100!.

Kwenye bandiko hili kuna very good analysis ila inahitaji mtu uwe na jicho la 3 kunielewa!, kama wewe ni mtu wa macho mawili tuu, utaishia chaka.

P
Unaeleweka sana, na hasa kwa wenye ufahamu wa kutosha. Ni mara chache una upendeleo wa wazi na hata ukiwepo unaweza kuelezea. Hongera.
 
Wanabodi,

Miongoni mwa sifa zilizomuibua Magufuli ni sifa inayoitwa "uthubutu" unreasonably ambayo wengine huita ni udikiteta. Yaani kuachana na mambo ya kufuata sheria, taratibu na kanuni, ndiyo yametufikisha hapa, hawa viongozi wenye "uthubutu" hawahitaji kujua sheria, taratibu na kanuni, zinataka nini, bali hufanya lile linalowezekana,

Tukija kwa Makonda, muda mfupi baada ya kuteuliwa DC wa Kinondoni, akaonyesha uwezo, hivyo kama ilivyokuwa kwa Magufuli, mwaka 2014 tulisema ni Magufuli, na mwaka 2015 kweli akawa yeye. Vivyo hivyo kwa Makonda akiwa DC, akina sisi tukasema hivi Nimemkubali Sana DC Makonda, anafaa kuwa Mkuu wa Mkoa Dar es Salaam
Na kweli haukupita muda akawa!.

Kwa maoni yangu Makonda atatufaa sana kumpokea Magufuli, maana kiukweli kwa sababu ana uthubutu mkubwa zaidi kuliko hata Magufuli. Makonda akimpokea Magufuli ile 2025, kiukweli kabisa Tanzania itanyooka!.

Makonda konyesha uwezo wa uthubutu, jee mnalionaje hili la kwanini asiwe Makonda kumpokea Magufuli?.

Kwa kwa wale mashabiki wa upinzani mtanisamehe bure, kwenye urais wa Tanzania, upinzani ni bado sana.

Paskali.
Ukisoma kwa jicho la ndani kabisa, ukituliza kichwa kweli na kuacha akili ya kawaida ifanye kazi, utagundua kijana yule machachari anayo nguvu kubwa tusioijua.

Mimi naamini kabisa kijana akituliza kichwa kidogo, akakua kifikra zaidi, busara kdg ikaongezeka... no doubt atakua ni mtoto pekee mpakwa mafuta wa kuja kutuvusha kwenda kaanani.
Niliwahi kuandika hapa jukwaani kwamba Makonda ndio Rais ajaye baada ya Samia raia wakanishukia but time will tell. Jamaa ana uthubutu wa hali ya juu na anakubalika na wananchi kupita maelezo.

Jamaa ni jasiri na haogopi mtu wala kitu chochote.

Hayumbishwi wala hatishwi na kitu chochote.

Halafu ana " a saviour aura " watu wakimuona wana muona mkombozi na mtetezi wa maisha yao...

Adui zake wana tetemeka na kumuogopa kama mtu alie toa sadaka ya kuwatisha na kuwoagopesha adui zake vile.

Watu kama Makonda ndo wanapataga wafuasi watiifu kwa sababu kwa nature ya binadamu huwa anamkubali na kumuamini sana binadamu jasiri.

Halafu ni lichapa kazi kinoma noma.

Jamaa atakuja kuwa Rais na watu watashangaa.
Mkuu LIKUD, haya sema wewe, tukisema sisi tutanyooshewa vidole vya the Sukuma Gang!.
P
 
Wanabodi,
Kabla Magufuli hajawa rais wetu, sisi wengine wenu tulijua tangu mwaka 2014 na tukasema humu!.Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe Magufuli

Miongoni mwa sifa zilizomuibua Magufuli ni sifa inayoitwa "uthubutu" unreasonably ambayo wengine huita ni udikiteta. Yaani kuachana na mambo ya kufuata sheria, taratibu na kanuni, ndiyo yametufikisha hapa, hawa viongozi wenye "uthubutu" hawahitaji kujua sheria, taratibu na kanuni, zinataka nini, bali hufanya lile linalowezekana,

Ndio maana tukasema humu, japo Magufuli kweli ni dikiteta, Tanzania mahali ilipofika ilimhitaji mtu kama Magufuli na Mwenyeenzi Mungu akaisikia sala yetu, akatupatia Magufuli!.
Magufuli ni Dikiteta!, Tanzania Ilihitaji Dikiteta, Tumempata!. Atakayeleta Fyoko, Ataisoma Namba!

Tukija kwa Makonda, muda mfupi baada ya kuteuliwa DC wa Kinondoni, akaonyesha uwezo, hivyo kama ilivyokuwa kwa Magufuli, mwaka 2014 tulisema ni Magufuli, na mwaka 2015 kweli akawa yeye. Vivyo hivyo kwa Makonda akiwa DC, akina sisi tukasema hivi Nimemkubali Sana DC Makonda, anafaa kuwa Mkuu wa Mkoa Dar es Salaam
Na kweli haukupita muda akawa!.

Hivyo kwa hii kazi nzuri yote anayoifanya Magufuli, atakapoondoka ile 2025, kama hatamuachia nchi mtu mwenye kufuata nyayo zake, hii kazi nzuri yote ya Magufuli itakuwa ni kazi bure! . Hivyo nimeshauri Kwa Kasi hii ya Magufuli, kuna haja Kufanya Uchaguzi wa Rais 2020?

Kwa vile katiba sio Msahafu, 2025 tuibadili katiba Magufuli aendelee indefinitely kama Mugabe, mpaka atakapo choka kabisa na kuwa hawezi tena kwa incapacitation, au tumsubirie Mungu, au Tanzania sasa na sisi tuanze mtindo wa spotting na headhunting na kumfanyia grooming huyo headhunted?.

Kwa maoni yangu Makonda atatufaa sana kumpokea Magufuli, maana kiukweli kwa sababu ana uthubutu mkubwa zaidi kuliko hata Magufuli. Makonda akimpokea Magufuli ile 2025, kiukweli kabisa Tanzania itanyooka!.

Magufuli pamoja na mazuri yake, naye kama binadamu pia ana madhaifu na mapungufu yake, vivyo hivyo Makonda pia sio malaika naye ana mapungufu yake, moja ya mapungufu makubwa ya Makonda ni inferiority complex inayopelekea ku practice superiority complex na kujikuta ana over do things bila kujijua!.

Psychoanalysis: Superiority Complex ni Dalili ya Inferiority Complex!. Maneno Mafupi Vitendo Virefu.

Mfano ni jinsi anavyojikomba komba kwa rais Magufuli mpaka kupindukia, karibu kila jambo lazima amtaje rais Magufuli tena kwa majina yake yote manne na sifa zake zote nne "Rais Wetu Mpendwa Mheshimiwa Dr. John Pombe Joseph Magufuli" (si mnajua watu wa Kanda yetu kwa kupenda masifa). Makonda lazima afike mahali aonyeshe anaweza kusimama on his own na sio kila wakati kutegemea apron strings za rais Magufuli.

Hivyo 2025 rais Magufuli asipoongeza muda, Makonda atatufaa sana. Kwa vile Makonda ni Mkolomije, kwa kuanzia 2020 akalichukue lile jimbo la yule chapombe, pale Kolomije na atashinda kwa kishindo na kupewa moja ya important portfolio zenye impact, ili 2025 ampokee Magufuli.

Kitendo cha mtu wa Kanda ya Ziwa kushika urais kama alivyo rais Magufuli, ni dalili ya Tanzania kutenda haki ya wengi wape, yaani wenye haki na uhalali wa kutawala nchi ni wale walio wengi!. Hivyo baada ya rais Magufuli aje rais Makonda, na baada ya hapo tuendelee kule kule mpaka na makabila mengine nao wawe ni walio wengi ndipo nao watastahiki! .

Makonda konyesha uwezo wa uthubutu, jee mnalionaje hili la kwanini asiwe Makonda kumpokea Magufuli?.

Kwa kwa wale mashabiki wa upinzani mtanisamehe bure, kwenye urais wa Tanzania, upinzani ni bado sana.

Paskali.
Update,
Kumbe wanaoesema baada ya Magufuli, Makonda atatufaa, siko peke yangu,
Msikilize kiongozi huyu wa dini, msikilize mpaka mwisho

Viongozi wakuu wa dini, wanaletwa na MWENYEWE YEYE, hivyo baada ya kuisikia kauli kama hiyo ya kiongozi wako wa dini, wewe kama ni muumini safi na wa kweli, ni kuikubali, hiyo ni sauti ya Mungu ikinena kupitia vinywa vya Manabii, wewe ni nani upinge?.
P

.
 
Wanabodi,

Miongoni mwa sifa zilizomuibua Magufuli ni sifa inayoitwa "uthubutu" boldness and sometimes unreasonably boldness ambayo wengine huita ni udikiteta. Yaani kuachana na mambo ya kufuata sheria, taratibu na kanuni, ndiyo yametufikisha hapa, hawa viongozi wenye "uthubutu" hawahitaji kujua sheria, taratibu na kanuni, zinataka nini, bali hufanya lile linalowezekana, yaani be pragmatic na ku practice pragmatism.

Ndio maana tukasema humu, japo Magufuli kweli ni dikiteta, ila Tanzania mahali ilipofika ilimhitaji mtu mwenye boldness kama Magufuli na Mwenyeenzi Mungu akaisikia sala yetu, akatupatia Magufuli!.
Magufuli ni Dikiteta!, Tanzania Ilihitaji Dikiteta, Tumempata!. Atakayeleta Fyoko, Ataisoma Namba!

Tukija kwa Makonda, muda mfupi baada ya kuteuliwa DC wa Kinondoni, akaonyesha uwezo, hivyo kama ilivyokuwa kwa Magufuli, mwaka 2014 tulisema ni Magufuli, na mwaka 2015 kweli akawa yeye. Vivyo hivyo kwa Makonda akiwa DC, akina sisi tukasema hivi Nimemkubali Sana DC Makonda, anafaa kuwa Mkuu wa Mkoa Dar es Salaam
Na kweli haukupita muda akawa!.

Hivyo kwa hii kazi nzuri yote anayoifanya Magufuli, atakapoondoka ile 2025, kama hatamuachia nchi mtu mwenye kufuata nyayo zake, hii kazi nzuri yote ya Magufuli itakuwa ni kazi bure! .

Kwa maoni yangu Makonda atatufaa sana kumpokea Magufuli, maana kiukweli kwa sababu ana uthubutu mkubwa zaidi kuliko hata Magufuli. Makonda akimpokea Magufuli ile 2025, kiukweli kabisa Tanzania itanyooka!.
Mleta mada, Makonda unamuona ana boldness? Kipimo chake subiri 2025 ccm wakiiba kula za uchavuzi kama atajiuzuru. Akiweza hili, nitamweka kwenye kundi unalolisema wewe.
Kwa sasa yupo kwenye kundi la vijana wajanja wanaojua kuzichanga karata ili kupata wakitakacho huko mbeleni, ni hatari kupewa nyazfa za juu za nchi
Mkuu Mcharo son, angalia hili ni bandiko la lini!.
P
 
Wanabodi,

Tukija kwa Makonda, muda mfupi baada ya kuteuliwa DC wa Kinondoni, akaonyesha uwezo, hivyo kama ilivyokuwa kwa Magufuli, mwaka 2014 tulisema ni Magufuli, na mwaka 2015 kweli akawa yeye. Vivyo hivyo kwa Makonda akiwa DC, akina sisi tukasema hivi Nimemkubali Sana DC Makonda, anafaa kuwa Mkuu wa Mkoa Dar es Salaam
Na kweli haukupita muda akawa!.

Kwa maoni yangu Makonda atatufaa sana kumpokea Magufuli, maana kiukweli kwa sababu ana uthubutu mkubwa zaidi kuliko hata Magufuli. Makonda akimpokea Magufuli ile 2025, kiukweli kabisa Tanzania itanyooka!.

Makonda konyesha uwezo wa uthubutu, jee mnalionaje hili la kwanini asiwe Makonda kumpokea Magufuli?.

Kwa kwa wale mashabiki wa upinzani mtanisamehe bure, kwenye urais wa Tanzania, upinzani ni bado sana.

Paskali.
RC Arusha ni mapito tuu, Nampongeza huyu Mwamba, Paul Makonda kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha , ambao ni Geneva ya Africa.

Ila kwa maoni yangu, hii teua, tengua, hamish, na tumbua ya Rais Samia, is not healthy at all!, it's a sign of weakness mahali!.

My honest opinion, CCM haina mtu mwingine yeyote ambaye ni the best kwenye uenezi zaidi ya Makonda!.
Ili Rais Samia afanikiwe, asiwasikilize sana wahafidhina wa CCM, sometimes
wanamuingiza chaka!, kama hili la kumuondoa Makonda kwenye uenezi na kumpelekea RChuga , kiukweli kabisa hapa wahafidhina wa CCM, wamemuingiza Mama chaka.

Japo siungi mkono hizi teua leo badilisha kesho, Waenezi 5, ndani ya miaka 5!
1. Polepole
2. Shaka
3. Mjema
4. Makonda
5. The upcoming one!.

Hi sio picha nzuri!, ila nasisitiza kuna tatizo kidogo mahali Rais Samia, sio malaika ni binadamu anaweza kukosea. Tusimlaumu, kumshutumu na kumponda kwa makosa ya kukoseshwa. Tumvumilie tumpe muda tuendelee kumpa muda, ata stabilize.

Hongera Paul Makonda kurudishiwa u RC, very soon itathibitika huyu aliyepo kwenye u RC wa Mkoa wetu hawezi!, soon utarudishwa RC DSM, jiji litanyooka!.

Kazi mnayo. Poleni sana.
 
Back
Top Bottom