Kanipiga tofali kule Twitter mkuu 🤣🤣🤣Huyo mshamba wa kiluguru amekushinda kumkabili?
CCM babaako.Mkuu utapambana na watu wenye Bunduki wakati upo mikono mitupu?
Wewe ni CCM usituchore hapa,ache Tuwe nyumbu ipo siku nyie mtakuwa mbwa Koko
Niliwahi kuleta mada hapa,nikakuelezea rangi yako halisi kuwa wewe uko CCM ,na huko Scotland upo kikazi,na ni Snitch mzuri mno,na ni Hatari sana kwa wapinzani,nilipoiweka hiyo mada ulikuja juu sana.
Haaa haaaa .Tobo Rais, Lema waziri mkuu, heche waziri wa mambo ya Ndani, msigwa waziri wa mambo ya nje?Chama cha siasa kinachoamka asubuhi na habari ya katiba mpya jioni kinaamka na habari ya Heisnotaterorist hata hatuelewi mwelekeo ni upi chama ambacho kinamtegemea mtu mmoja asipokuwepo chama kizima kinapoteza nguvu, halafu mnakuja mnataka mpewe nchi.
Mnashangaza zaidi mnapokuja na hoja ya taifa kua maskini na kulamu kuhusu tozo halafu badae mnapitisha michango. Nchi hii bado haijaweza kuwa na chama cha upinzani subirini kwanza.
Wakati wenu huu MaCCM fanyeni mnavyotaka , na semeni mnavyo jisikia.Yaani aliyetupa jina la Nyumbu alitupatia.
Yaani mwenyekiti amekamatwa, yupo ndani na kapewa kesi kubwa SISI TUPO BUSY KUTENGENEZA TISHETI BADALA YA KUPAMBANA.
Watanzania ni viumbe wa tofauti sana.
Akili zao hazina akili hao MaCCM achana na mpuuzi huyo.Bora nyumbu hata nyama inaliwa, vipi ya fisi inalika? Kwa ulafi wake tu nikichefuchefu cha kufa mtu😂
Haa haa just haa haa CHADEMA hatuna mvuto kwa msaada wa PoliCCM sio😄wanajisumbua tu hawana mvuto tena kwa uma
Weye na wao,nani muwongo..??wanajisumbua tu hawana mvuto tena kwa uma
Kiumbe tofaut niww usijumuishe wote, nikuulize swal.. ulitaka cdm wapambane kule gerezan wateke gereza ili wamtoe mwenyekit kwa nguvu? Au wavamie mahakam wamchukue kwa nguvu? Issue ipo kisheri ww unataka wapambane 🤣🤣🤣🤣🤣🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮Yaani aliyetupa jina la Nyumbu alitupatia.
Yaani mwenyekiti amekamatwa, yupo ndani na kapewa kesi kubwa SISI TUPO BUSY KUTENGENEZA TISHETI BADALA YA KUPAMBANA.
Watanzania ni viumbe wa tofauti sana.
Kama wewe ni kijana ni hasara kwa Chama na hasara kwa taifa hili,Vijana wa CHADEMA siku hizi uwezo wa kiakili umepungua sana.Wakati wenu huu MaCCM fanyeni mnavyotaka , na semeni mnavyo jisikia.
Majeshi yote ni mali ya CCM kwa raha zenu.
Ila mkifa msituhubirie usengeusege wenu , msitubanie pua na kuremburia macho , eti tuwe wamoja.
Mkomee huko huko .. pumbavu kabisa kabisa.