Baada ya Lema kuomba michango ya nauli ya "Kuzunguka Dunia Nzima," Sasa kuna tisheti za "He's Not a Terrorist" 🤔

Mimi ninachoshindwa kuwaelewa hawa jamaa ni kuwa, kuthibitisha tuhuma za ugaidi au kutothibitisha kunahitaji uchunguzi wa hali ya juu... Wao wamewezaje kujua kuwa mbowe sio gaidi kwa haraka hivi? Wanasahau kuwa ukiacha siasa na yeye ana maisha yake
Kwa hiyo ugaidi wake ulikuja baada ya kuanza kudai katiba?
Nyie mbwa washenz sana
 
Chahali unahangaika na vitu vidogo sana, naona ndio unatafuta njia ya kujipendekeza kwa watawala ili ukirudi wasikukamate, endelea kuhangaika na Chadema labda ndio mlango wako wa kurudia Tanzania salama.
Akili yake nayo ni ndogo pia
 
Mchaga wa Machame, mpaka anaachia ngazi, wanachama wataipata fresh, hata mbu na kupe wanapuliza wakati wa kunyonya damu, kila situation ni fursa ya kupiga hela tu..Acha kabisa..
 
Jamani bado tunalia na tozo alafu mnataka kutuongezea michango mingine tena! Ndiyo maana Serikali imeamua KUWEKA matozo maeneo kama hayo ILI siasa ZENU zitumike kwa manufaa ya nchi.
Leo ukitukana KUPITIA mitandao yote ya kijamii ujue unakatwa Kodi na ukiwachangia wanasiasa mabazazi pia unakatwa Kodi kweli Dr.umetuweza
 
Back
Top Bottom