Baada ya kutoka Mo Dewji, Rostam Aziz na Freeman Mbowe kuna Bilionea gani aliyebaki Bungeni?

Aise; umeeleza vizuri sana but mwishoni ndio ulipo haribu; hivi ni kwanini kila anae pingana na nyie hua mnadhani ni mwana cha wa chama fulani? Aliyetangaza ubilionea wa Laizer ni BOT na wizara kwa pamoja, wewe mkereketwa hukuwahi kukosoa hilo hadi Mbowe kutajwa? Is like nyie hua mnachuki binafsi na baadhi ya watu wakati sisi wengine ambao hatumiliki kadi ya chama chochote tuko very free, tunaweza kumkosoa yoyote na kumuunga mkono pia yeyote; angalini nyie mlivyo poteana baada ya mhe Magufuli kuitwa mbele za haki; hamuelewi muunge mkno misimamo mipya au mmpinge kama sisi. Tumieni akili zenu kufikiri badala ya kufikiria kwa kutumia CHOMBO au chama.

laizer alitangazwa kama bilionea wa tsh, na hata alipiga picha na cheque yenye billion za tsh hio halikua na tatizo ndo maaana nmeanza kwa kuuliza je ni bilionea wa tsh ili story zisiwe nyingi, because unapomuweka dewji kwenye same bilionea list na mbowe inakua haijabalance!

- naheshimu pia mawazo ya nyie ambao hamna chama hio kauli ya mwisho nmeiweka kiutani tu mkuu wala usiwe personal maana siasa zenyewe zmehamia online saaahv bila vitendo
 
Tuendelee na maisha mkuu; tusije tukaanza kunyimana hadi riziki kwasababu ya vyama hivi, uccm na uchadema sio Utanzania, hivyo vyama kuna siku isiokua na JINA vitakufa but Tanzania itabaki hadi Mungu atakavyo amua vinginevyo.
 
Kwanza nikurekebishe Mbowe hana sekta yoyote ya halali na ya maana kumuingizia pesa zaidi ya sekta hii ya kuwatumia nyumbu na wanywa viloba kama daraja la kufikia mafanikio yake. Hata hawa wanaomtetea humu wengi wamekubali kuuza utu wao kwa sababu ya tamaa za matumbo yao.
Pole MKUU,nyongo siyo nzuri kwa afya

Sent from my M100 using JamiiForums mobile app
 
umechelewa sana ! ingekuwa hafanyi kitu unadhani TRA wangemtwika kodi ya bil 2 na mil 600 ?
Nimeuliza. Yupo Forbes? Kodi za bilioni kitu gani! Hapa Mwanza wapo akina Kitana, Njiwa Pori na Lwempisi wanalipa zaidi ya hizo. Hata Mh. Tabasamu, Mbunge Sengerema (CCM) analipa hizo kila mwaka!!! Au unaleta mambo ya "Ukipenda chongo unaliita kengeza"!?
 
Hapa nazungumzia mabilionea wenye uwekezaji hadi mashariki ya mbali na Ulaya siyo hawa wenye mabasi malori na guest houses.

Wote tunajua mabilionea Mo Dewji, Rostam Aziiz na Freeman Mbowe walikuwa wabunge na sasa wanaendelea na biashara zao huku wakichochea ukuaji wa uchumi kwa vitendo kupitia sekta binafsi ambayo ndio injini ya uchumi.

Je, kuna bilionea yoyote kabakia kule bungeni?

Ramadan Kareem!
Billionaire msukuma, kibajaji oooops Gwaji boy.
 
Kwanza nikurekebishe Mbowe hana sekta yoyote ya halali na ya maana kumuingizia pesa zaidi ya sekta hii ya kuwatumia nyumbu na wanywa viloba kama daraja la kufikia mafanikio yake. Hata hawa wanaomtetea humu wengi wamekubali kuuza utu wao kwa sababu ya tamaa za matumbo yao.
Chuki binafsi.
 
Back
Top Bottom