I feel good
JF-Expert Member
- Oct 21, 2016
- 1,733
- 3,117
Ushafeli... Biashara ulipaswa kujifunza na kufanya tokea enzi hizo ukiwa umeajiriwa.. Ndiyo finally unataka uanze kujifunza biashara saa hizi? Tena kwa kushauriwa kuwa fanya biashara fulani!!!Nimekuwa kazini Kwa zaidi ya miaka thelathini na sita, mwaka Jana nimestaafu nimelipwa mafao yangu nikazifix benk mwaka mmoja baadae nataka nizitoe nifanye biashara, naomba ushauri wenu ziko zaidi ya 80m
MtihaniKwa bahati mbaya umekwishachelewa. Ulipaswa kujipanga miaka miwili kabla ya kustaafu. Fixed deposit hailipi, ni kama mtaji mfu. Hiyo pesa inatakiwa izunguke ili kuweza kuzaa kuliko kuiacha tu Benki ambao wanaitumia kama mtaji wao. Biashara ina mizungu yake. Shangaa una nyanya nzuri sana pale sokoni lakini hupati mnunuzi Jirani yako ana nyanya wengine huziita "masala" lakini anauza kwa watengeneza chips kama tomato source na zinakwisha asubuhi tu.
Mashangazi pub iko wapiMtafute mzabzab akupeleke mashangazi pub kule mtapata mawazo mazuri sana ya biashara ipi ukifanya utatoboa..!!
Kwanza tukafanye kikao kitambaa cheupe tabata
Pale kuna mawazo mazuri sana
Solution.Chonde chonde ziache huko huko mzee wangu au kama ukizitoa huko benki kaziwekeze UTT kwani nafikiri riba yao ni nzuri,around 15%.
Kama wakati ulivyoajiriwa hukuwahi kufanya biashara usithubutu kuanzisha biashara sasa hivi.
Hakika mkuu,cha muhimu hiyo pesa asiifanyie biashara yeye kama yeyeSolution.
Hata akinunuwa shares TCC, BREWERYS, TWIGA, OXYGEN (TOC) nk.nk. siyo mbaya.
Anakula dividends kila mwaka na hela Iko safe kwa makampuni hayo...
Betting!!Nimekuwa kazini Kwa zaidi ya miaka thelathini na sita, mwaka Jana nimestaafu nimelipwa mafao yangu nikazifix benk mwaka mmoja baadae nataka nizitoe nifanye biashara, naomba ushauri wenu ziko zaidi ya 80m
Hiyo 80m ukiweka kwenye biashara yote utalia kilio cha umbwa.. weka kwanza fungu la kumi kwenye biashara usome upepo.Nimekuwa kazini Kwa zaidi ya miaka thelathini na sita, mwaka Jana nimestaafu nimelipwa mafao yangu nikazifix benk mwaka mmoja baadae nataka nizitoe nifanye biashara, naomba ushauri wenu ziko zaidi ya 80m
FACEBOOK GRADUATEDcomments za huu Uzi wa Mzee Makoye zimenichekesha sana!! Nahisi JF inatakiwa kuanza ku filter na ku block baadhi ya members. Unakuta kabisa member kazi yake ni kutoa ushauri wa kijinga!! Sasa member kama huyo kweli anahitajika hapa JF? Au basi JF ianzishe forum ya comedians ili members kama hawa wawe restricted huko tu! Sio kuleta ushauri wa kipuuzi katika mijadala ya maana kama ya huyu Mzee Mstaafu Makoye.
Mkuu kama hutojali ninaomba elimu ya kunenepesha ng'ombe.Ziweke kwanza Fixed Account bank ya TCB wanatoa hadi 12% annually. Hapo kila mwezi utakuwa unapata karibu laki 8 wakati ukifikiria biashara ya kufanya.
NB. KWA KUWA SASA UNA MDA WA KUTOSHA JARIBU BIASHARA YA KUNENEPESHA NGOMBE KISHA KUWAUZA BAADA YA MDA FULANI INALIPA SANA NA HAINA CHANGAMOTO NYINGI
ONYO 1. USIJARIBU KILIMO
ONYO 2. USIJARIBU BIASHARA YA MAGARI YA ABIRIA.
Kila la kheri.
Good advice I agreeZiweke kwanza Fixed Account bank ya TCB wanatoa hadi 12% annually. Hapo kila mwezi utakuwa unapata karibu laki 8 wakati ukifikiria biashara ya kufanya.
NB. KWA KUWA SASA UNA MDA WA KUTOSHA JARIBU BIASHARA YA KUNENEPESHA NGOMBE KISHA KUWAUZA BAADA YA MDA FULANI INALIPA SANA NA HAINA CHANGAMOTO NYINGI
ONYO 1. USIJARIBU KILIMO
ONYO 2. USIJARIBU BIASHARA YA MAGARI YA ABIRIA.
Kila la kheri.
Standard @50,000/=Mkuu uswqzi utapangisha room kwa tsh ngapi!?