Baada ya kupoteza thamani, ameamua kunitafuta

We jamaa ni limtu libinafsi sana.

You are a narcissist kwanini ukomoane na mwanamke, na uwe na mapenzi ya kuigiza?

Do you think that unaacha legacy yoyote nzuri? Unaonesha how immature you are kwa akili. Binafsi sjapendezwa na tukio la wewe kumkomoa kabla haja pata ajali
 
Fahamu kwanza kama mtoto ni wako au sio wako then ufanye maamuzi ya kumsomesha ila kuludiana na huyo mwanamke fata moyo wako ila usibebe msalaba wa mtu yeyote
 
Kama unatoa kwa mama, baba na ndugu zako tu huwezi ona ugumu.
Toa kwa mtoto wa mwanamke mwenzio unayemwita mpenzi wako
Kama unampenda mtu huwezi one ugumu ukitoa labda kama kuna past trauma zilitokea ndo utakuwa 50/50 ( uhudumie au usihudumie) kwa kuhofia jambo lile lililo.kudissspoint litatokea tena.....
 
Ushauri wetu utakupotosha
Fanya maamuzi ili uishi kwa amani, upendo na utu
 
Ukikua, utajua mazuri yao na mabaya yao
 
Kama unampenda mtu huwezi one ugumu ukitoa labda kama kuna past trauma zilitokea ndo utakuwa 50/50 ( uhudumie au usihudumie) kwa kuhofia jambo lile lililo.kudissspoint litatokea tena.....
Kwani huko kuhudumiwa lazima kuhusishe financial?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…