#COVID19 Baada ya Kumsikiliza na Kumuelewa vyema Dk. Seche Malecela, Kesho najipeleka mwenyewe Kupata Chanjo yangu ya UVIKO 19 niwe salama zaidi

Ungekuwa mfuatiliaji wa posts zangu tangu zama hizo ungeifahamu phrase niliyokuwa naitumia mara kwa mara kwamba "Mtaji Mkubwa wa Magu ni Jeshi Kubwa la Wajinga Lililo Nyuma Yake"! Mwisho wa kunukuu, na sina maelezo zaidi...
Usitukane watu kienyeji hivyo! Kati yako na hao unaowaita wajinga mjinga halisi mbona anajurikana tu!?
 
Kuna vitu sifanyi navyo mchezo, afya, imani na vyakula. Naisikiliza sana nafsi yangu kuliko mtu yeyote. Kwa sababu ikiwa kuna faida au hasara, naipata mimi. Na uzuri kwa hii chanjo ya covid, kwa kusaini ile form, ina maanisha jukumu la madhara ya hiyo chanjo nalibeba mimi.

Hapo utulivu unahitajika. Ukienda kwa mashakamashaka utasingizia chanjo hata kwa vitu ambavyo vingekupata bila kuchomwa.
 
Yehodaya za siku ?!!

Kumbe ninyi watu hamkuwa CCM....

Ninyi watu mlikuwa tu "CCM UPEPO" kwa ajili ya kipenzi chetu Hayati Magufuli.....

Aliondoka baba wa taifa akaiacha CCM....kwa hiyo tuanze kushambulia viongozi wa CHAMA simply kwa kuwa aliyekuwepo HATUMTAKI/HATUMPENDI/TUNAMCHUKIA?!!!

Hivi ninyi kweli MLIPITIA MADARASA YA ITIKADI YA CHAMA?!!!

Pamoja na kukinzana hoja sijapatapo kumuona mwanaCCM akimshambulia mwenyekiti kiasi hiki?!!!!

#SiempreCCM
#KaziIendelee
Niseme eneo la kupambanaCorona Mama Samia Hayuko sisi tuli ji lock down kwa kujifukizia no tukanusurika yeye mama Samia hakuwahi kuvaa barakoa kipindi Cha Magufuli kuanzia kuaga maiti Hadi misafara Hadi mazishi mbona hakufa kwa corona?

Maumati yaliyokuwa Kila sehemu mibarabarani na viwanjani Tanzania bara na visiwani Kama marehemu alificha mbona hawajafa Kama corona ilikuwepo maana serikali yote na wabunge na majajii na wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama hawakuwa na barakoa maji tiririka Wala chanjo Wala sociy distance kuanzia viwanjani kuaga Hadi mibarabarani Hadi mazishi chato? Huyu Mama asidhani watanzania wajinga

Hili la kusema Magufuli alificha takwimu wakati watu walikufa kibao mbona yeye na wabunge na majajii na wakuu wa majeshi na wa vyombo vya ulinzi na usalama hawakufa kuaga Magufuli wakati hawakuzingatia hata sharti moja la kujikinga na Corona la wazungu kuanzia viongozi wa wizara ya afya ,ikulu, usalama wa Taifa na vyombo vyote vya ulinzi na usalama , wabunge,wakuu wa mikoa wa wilaya na wa dini akiwemo Mufti Shehe Zuberi?

Mama Samia Mungu anakuona wewe chezea watanzania lakini Mungu yupo abudu wazungu kwa hili ila ukumbuke Yuko Mungu asimamamaye na wasio na sauti

Madaraka ya dunia hii sio Bora kuliko ahera kwa cheo ulichofikia ulitakiwa tu kumlingania Mwezi Kama Magufuli alivyofanya na so kujiingiza kwenye utapeli kwa umri huo uliofikia ulitakiwa utafute pepo tu ilipo.Itakusaidia Nini hata upate pesa zote za wazungu kwa umri huo wewe na huyo Kikongwe waziri wa Mambo ya nje balozi Mulamula?

Marehemu Magufuli alijua iko siko atakufa na alitamka lakini alikataa utapeli kutapeli wanyonge kisingizio Corona

Wewe Mama Samia na Mulamula mrudieni mola huo umri wenu sio wa kutapeli kuwinda hela za wazungu kitapeli mngetuacha tujifukize nk hata Kama wazungu hawatambui tungeendelea kuwa salama.Magufuli ile aliweka lockdown kisiri kuwa sawa nje hawawezi tambua hiyo wataita un scientific lakini wananchi watakuwa safe Wewe umetibua Kila kitu na Mulamula ku tu expose kwenye corona ulaaniwe wewe na Mulamula wako
 
Mbona sasa hatuoni walau watu mamilioni wenye elimu zenu mkifurika huko kwenda kupata chanjo?

Nlitegemea hizo milioni 1 zilizokuja ziishe fasta kwa kugombaniwa!

Ina maana katika watu milioni 60 hapa tz wote ni wajinga? Yani hatuna watu welevu walau milioni 1 wakamalize chap hizo chanjo? Wote ni wajinga wafuasi wa Magu?
Tatizo ni lile lile, sio msomaji wangu! Nakupa changamoto ingia Google kisha search "The world is full of average people and even more below the average + jamiiforums"

Ukifanya hivyo, utaona hiyo nukuu imekuwa ikitolewa na nani, na hapo ndipo utakapopata jibu la swali lako!!!

That's one but two, ni silika tu ya Watanzania!! Even smarter people am very sure hawajaenda!!! Si kwamba they don't believe in the vaccines lakini Wabongo tuna dasturi ya kusubiria jambo hadi siku za mwisho!!!
 
Kwa hiyo mwenda zake ana wafuasi wengi sana kwa mimilioni hapa tz tofauti na mlivyokuwa mnasema kwamba anachukiwa sana?
 
Kuna Watu ambao achilia mbali tu Elimu zao kubwa bali hata uwezo wao mkubwa wa IQ na Kuchambua Masuala ya Kitaalam na Kitaaluma wakisema mambo GENTAMYCINE huwaamini na Kushawishika.

Kwa Ufafanuzi mzuri nilioupata kutoka kwa Mwanamama na Daktari Nguli Seche Malecela ( Mtoto wa Waziri Mkuu Mstaafu Mzee John Samuel Malecela ) kuhusu Chanjo hii ya UVIKO 19 Kesho asubuhi naanza Kuzunguka Hospitalini Kote Mkoani Dar es Salaam ili nikachanjwe nayo.

Nawatakieni kila la kheri wale Wote mnaomuamini Kibwetere aliyechangamka aliyeko Ubungo Mkoani Dar es Salaam ambaye anajinasibu ni Mchunga Kondoo wa Bwana wakati kumbe ni Tapeli tu wa Kiroho na Kiimani huku pia akiwa ni Muigizaji mzuri wa Sinema za Ngono Mitandaoni.

Ahsante sana Rais Samia kwa Chanjo hii.
Hivi huyu si ndio baba yake aliwahi kuwa blacklisted na JK Nyerere(may his precious soul rest in eternal peace and power amen 🙏), kwa kubainika kuingia deal la kihuni na waarabu! Naona hizi zipo kwenye vina7! Wenye moyo wa kumwamini mwaminini...nachofahamu, haiwezekani kwa sasa kujua madhara ya muda mrefu ya hivi vijanjo uchara vyenu!
 
Tatizo ni lile lile, sio msomaji wangu! Nakupa changamoto ingia Google kisha search "The world is full of average people and even more below the average + jamiiforums"

Ukifanya hivyo, utaona hiyo nukuu imekuwa ikitolewa na nani, na hapo ndipo utakapopata jibu la swali lako!!!

That's one but two, ni silika tu ya Watanzania!! Even smarter people am very sure hawajaenda!!! Si kwamba they don't believe in the vaccines lakini Wabongo tuna dasturi ya kusubiria jambo hadi siku za mwisho!!!
Peleka huko assumptions zako hatununui hizi!
 
Huyu sio yule wa Zika,yule wa zika ni Mwelle (Mwene?)
Dk Mwele Malechela ndie huyo huyo Tapeli wa kusema Tanzania kuna Zika Marehemu Magufuli alimkimbiza kama Mbwa akakimbilia WHO .Panya ukitaka kujua katokea wapi mkimbize shimo atakaloingia ndio waliomtuma atapeli kupitia ugonjwa hewa wa Zika!!

Magufuli kumkimbiza tu mbio WHO wakampa cheo!!! Chap chap! Akambilia shimo la WHO

Muulize hata hiyo Zika iko wapi Tanzania? Hana jibu Tapeli huyo

magufuli Baada ya kumkimbiza Dk Mwele Malechela akakimbilia shimo la WHO Magufuli akiangua kicheko kuwa utapeli wenu wA ZIka upelekeni nchi ingine sio Tanzania aliufyata kaibuka kipindi Cha Samia mkumbatia matapeli
 
Kuna Watu ambao achilia mbali tu Elimu zao kubwa bali hata uwezo wao mkubwa wa IQ na Kuchambua Masuala ya Kitaalam na Kitaaluma wakisema mambo GENTAMYCINE huwaamini na Kushawishika.

Kwa Ufafanuzi mzuri nilioupata kutoka kwa Mwanamama na Daktari Nguli Seche Malecela ( Mtoto wa Waziri Mkuu Mstaafu Mzee John Samuel Malecela ) kuhusu Chanjo hii ya UVIKO 19 Kesho asubuhi naanza Kuzunguka Hospitalini Kote Mkoani Dar es Salaam ili nikachanjwe nayo.

Nawatakieni kila la kheri wale Wote mnaomuamini Kibwetere aliyechangamka aliyeko Ubungo Mkoani Dar es Salaam ambaye anajinasibu ni Mchunga Kondoo wa Bwana wakati kumbe ni Tapeli tu wa Kiroho na Kiimani huku pia akiwa ni Muigizaji mzuri wa Sinema za Ngono Mitandaoni.

Ahsante sana Rais Samia kwa Chanjo hii.
Huyu Seche Malecela kwa makusudi kabisa ameamua kupotosha. Kwa makusudi ameamua kutokuongelea hoja za msingi na kujikita zaici kutetea kwa nini chanjo ya corona imepatikana haraka!!
Kwa kifupi amesema ni kwa kwa kuwa corona inafanana na virusi vingine vya Sars ambavyo utafiti wake ulikuwa tayari umefanyika. Pamoja na hayo ni stage moja tu ya exploratory ndiyo ingekuwa imefanyika. Lakini pre-clinical testing ya angalau miaka miwili ilikuwa bado, pia clinical testing ya miaka angalau 4 ilikuwa bado nk. Kwa vyovyote vile hakuna chanjo ya kuchukua miezi tu kukamilika!
Lakini mbaya zaidi sayansi ya chanjo yenyewe ameipotosha nadhani ni kwa makusudi!! Kwa makusudi amekwepa neno messenger RNA ( mRNA). Ni kweli haingizwi mdudu mwilini lakini inaingizwa mRNA. mRNA hupeleka message kwenye vinasaba (DNA) ambavyo ndio huhusika na utengenezaji wa protein kwa mujibu wa message iliyoingizwa kwenye seli kupitia hiyo mRNA!! Anadai hakuna kitu kinachoingizwa kwenye DNA huo ni uongo!! Kinachoingizwa kwenye DNA kipo, ni hiyo message iliyobebwa na DNA. Katika harakati za DNA kufanyia kazi message iliyopelekwa kwenye DNA kuna uwezekano wa mutation kutokea! Ikitokea hiyo mutation itaambukiza vizazi vyote vijavyo na hakuna namna ya kurekebisha!! Hiyo ni genetic manipulation kama wafanyavyo kwenye mimea!!
Lakini kingjne ambacho mwele amekikwepa kwa makusudi ni chanjo yenyewe kukosa sifa za chanjo kama zilivyo chanjo zingine!! Chanjo ya ya corona hakukingi na maambukizi mapya, haikuepushi kuwaambukiza wengine, na pia haikusaidii kutokuugua kiasi cha kulazwa hospitalini. Mbaya zaidi kwa taarifa za sasa kabisa toka CDC huko marekani ni kwa asilimia 80 ya wagonjwa waliolazwa walishakamilisha chanjo ya corona!! Hizi ni data mpya zimetoka leo!! Dr Mwele kama wewe umechanjwa pole sisi hatudanganyiki!! Wewe kwa sasa unaishi kwa fadhila za mabeberu huna namna nyingine isipokuwa kutumiwa na mabeberu kwa manufaa yao!! Kwa faida yako soma link hii toka ughaibuni huko huko unakoishi! Namba hazidanganyi

Magufuli alikuwa na akili nyingi mno mno akasema jifukizieni kuleni malimaoy nk akijua ulaya na mareki wataponda!!! Lakini ilikuwa secret Lockdown iliyoshangiliwa na Kila mtu kuwa kweli hatuumwi coroy or whatever huyu Mama Samia kaja na Mulamula wake wametibua Kila kitu ohh Tanzania sio Kijiji tutumie Chanjo za wazungu!!!

Magufuli alikuwa na ushawushi wa Lockdown wa kiakili sana ila hasemi ni Lockdown anasema tu simple chanjo msikubali za wazungu kumbe anajua wazungu hawatakubali na mtu hatasafiri

Mama samia na Mulamula wake katibua.Sasa akiweka watu lock down ajiandae vurumai !!!
 
K
Kuna Watu ambao achilia mbali tu Elimu zao kubwa bali hata uwezo wao mkubwa wa IQ na Kuchambua Masuala ya Kitaalam na Kitaaluma wakisema mambo GENTAMYCINE huwaamini na Kushawishika.

Kwa Ufafanuzi mzuri nilioupata kutoka kwa Mwanamama na Daktari Nguli Seche Malecela ( Mtoto wa Waziri Mkuu Mstaafu Mzee John Samuel Malecela ) kuhusu Chanjo hii ya UVIKO 19 Kesho asubuhi naanza Kuzunguka Hospitalini Kote Mkoani Dar es Salaam ili nikachanjwe nayo.

Nawatakieni kila la kheri wale Wote mnaomuamini Kibwetere aliyechangamka aliyeko Ubungo Mkoani Dar es Salaam ambaye anajinasibu ni Mchunga Kondoo wa Bwana wakati kumbe ni Tapeli tu wa Kiroho na Kiimani huku pia akiwa ni Muigizaji mzuri wa Sinema za Ngono Mitandaoni.

Ahsante sana Rais Samia kwa Chanjo hii.
KUmbe wakati mwingine nawe huwa TAHIRA nikajua mchambuzi KUmbe mwanamajungu mkubwa
 
Magufuli alikuwa na akili nyingi mno mno akasema jifukizieni kuleni malimaoy nk akijua ulaya na mareki wataponda!!! Lakini ilikuwa secret Lockdown iliyoshangiliwa na Kila mtu kuwa kweli hatuumwi coroy or whatever huyu Mama Samia kaja na Mulamula wake wametibua Kila kitu ohh Tanzania sio Kijiji tutumie Chanjo za wazungu!!!

Magufuli alikuwa na ushawushi wa Lockdown wa kiakili sana ila hasemi ni Lockdown anasema tu simple chanjo msikubali za wazungu kumbe anajua wazungu hawatakubali na mtu hatasafiri

Mama samia na Mulamula wake katibua.Sasa akiweka watu lock down ajiandae vurumai !!!
Mkuu, Mama hapaswi kutishwa bali kumshauri. Kumuwekea masharti kuwa "akifanya hivi ajiandae kwa hili" si maneno sahihi kwa Mama yetu. Ninajua grievances ulizonazo lakini hizo zisikutoe kwenye reli.

Tunahitaji kuungana kama taifa kukabiliana na janga hili bila kubezana kwa pande zote. Kikubwa tusiogope, tujiamini, tusamini vya kwetu kuanzia juu mpaka chini.

Nawasilisha.
 
Back
Top Bottom