Baada ya kumjali na kupigania mafanikio yake, leo nimegeuka kuwa mshamba

Niliwahi kuwa na kamoyo kadhaifu kama kakwako aisee ni taabu tupu,

Kwa sasa nashukuru yule mwanamke wa kijaluo aliutengeneza kwelikweli yaani ni maamuzi ndani ya masaa 12
 
Kosa moja ambalo wanaume hua tunafanya ni kudhani kwamba ukimsaidia mwanamke, basi tayari unakua umeuteka moyo wake na anawajibika kuwa na wewe maisha yake yote!

Mapenzi hayaendi hivyo. Unaweza kukuta huyo dada yeye ana mtu wake miaka nenda rudi na huyo jamaa hajawahi kumsaidia chochote ila yeye ndio anampenda huyo.

Wewe kama ulishapewa mzigo kwa hicho kipindi chote ulipokua nae basi ndio malipo yake hayo usitake zaidi.
 
We fala achana nae huyo, fanya kama ulimsaidia moita njia, utamuwaza saana utajitia presha utakufa kingese, unamuacha mwenzio anapigiliwa mbupu duniani, unawaachia wenye kukupenda kweli pengo lisilozibika...

Kuwa MWANAUME.
 
Nilimkuta akiwa ana stress za maisha baada ya kumaliza masomo yake katika chuo fulani. Nilimshika mkono, nikamfuta machozi kisha nikampenda na nikamfundisha kunipenda

Mkuu kama hiki ulichoandika ni sahihi basi bila shaka ni wewe uliyependa na sio yeye aliyekupenda...

Maadam upendo ulikuwa wa upande mmoja pekee basi kati yenu hakukuwa na kitu kupendana...

Kwa mantiki hiyo, acha kuendelea kulazimisha penzi

Pitia huu uzi kwa shauri zaidi

Unamuwaza asiye kuwazia: Kwanini uteseke na mtu mmoja ambaye hana mpango nawe?
 
Kila siku mnaambiwa humu ila kujifanya vichwa ngumu tuu mwisho wa siku mnarud mnalia lia
 
Weka akiri na nguvu kwenye mambo yako mzee, kuwa busy as if nothing wrong, ukiendelea kumfatilia anajisikia wa thamani zaidi. Afu adi hapo ni ngumu kuishi pamoja maana hatambui thamani ya kujitoa kwako.

Miaka kadhaa ilinitokea Kama haya yaliyokutokutokea, nilichokifanya niliachana nae kwa moyo mmoja na chochcote nilichowahi kumsaidia niliona Kama ni msaada tu ambao naweza kumpa yeyote muhitaji, sikutaka kumuona special Tena .. ilinisaidia sana

Muda wowote unapotoa msaada ata Kama unaempa msaada ni mpenzi wako ebu jaribu kutomfanya special sana, hasa ukiwa huna Imani nae. Msaidie Kama unavyoweza msaidia mtu mwingine yeyote Tena bila kutazamia kurejeshewa fadhira, Mimi imenisaidia sana.

Nilipokuwa chuo frani nilikuwa na bint ambaye pia ningeweza kumuoa, nilimlipia ada ya mwaka mzima, moyoni mwangu sikutaka kuchukulia kwamba ni lazima nimsaidie Kama mpenzi, Ila nilitoa msaada kwasababu amekwama na nilichukulia poa japo yeye alidhani nilimpa kwasababu ni mpenzi wangu..... Aligundua siku nilipomsaidia mtu mwingine tofauti na yeye na alimaindi sana, nikamwambia namsaidia yeyote kwa chochote nilicho na uwezo nacho...akaniuliza Mimi ilinisaidia Kama Nani, nikamwambia Kama mwingine yeyote.. ata alipoamua kuendelea na maidha yake haikuniuma kabisa.

Take easy ni sehemu ya maidha ya mahusiano tu...utafika tu.
Wanawake huwa wanajipna expensive sn
 
Tatizo wema wako uliambatana na kupiga K,
Kama ndivyo huenda naye anaamini ulimtumia sababu ya umaskini wake huku wewe ukijiaminisha mko pamoja ,

kilichomleta kwako ameshakipata ,what next,ametafuta maisha mengine ,inabidi ukubali maisha yaendelee,utakuwa umejifunza ,wakati mwingine hutafanya makosa
Jamaa kimachomuuma kanunua malaya kwa bei mbaua na kaz kampa
 
Tenda wema uende zako
Akikuelewa hapa basi inatosha.

Tenda wema nenda zako usingoje fadhila.

Fadhila mfadhili mbuzi binadamu hutomweza ,mbuzi utamla nyama ,mchuzi na supu.

Unajipa stress komaa malizia tasnifu yako focus kwenye mitikasi yako .

Usiwaendekeze Hawa viumbe kachapiwa nikki wa pili wistaz utakuwa wewe

Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
 
Sometimes letting go is the best way to go!!



Kwa kuzingatia sasa Ana mshahara wake , nakushauri kama ifuatavyo

Embu wewe mwenyewe Jiondoe kwake.

Kata Nyuzi ya Mawasiliano iliyokuwepo.
Ndiooo ,usimtafute kwa meseji, kwa simu wala kwann,
Achana na hasra, chuki nakuwaza ulichowekeza, amini nakuambia kadri ambavyo unayawaza haya ndivo unazidi kuumia.

Kuwa Chanya...yaan jipende, kuanzia mavazi, mwonekano, maisha ,kazi ,kua mwenye furaha

HAKIKISHA UNAMUONYESHA KUA UNAFURAHA BILA KUMTAFUTA, ..WATU WABAYA WANAKAWAIDA YA KUTAKA KUONA UBAYA ALOKUFANYIA UNAKUONDOLEA FURAHA. NAHAPA UKIWAJULIA, NIWAO WENYEWE WATAUMIA ( ZINGATIA SANA HILI) .

Hakikisha Sanaaa Hauwi mtu wa mitandaoni sanaaaa , ila kua mtu wa mtandaon kwa 'Nadra yenye Uhakika".. Hapa lengo ni kumrudisha kama bado unamhitaj, nahapohapo lengo nikuendelea na Maisha yako wewe kama wewe.


Kwahiyo,
ACHA KUPOST POSTS ZINAKUONYESHA UNA HUDHUNI ,ACHA KABISAAAA.
kama ni jumbe ,tafuta zile jumbe zinazokuonyesha una furaha mfano"Life is full of surprises "..... Love and happiness ".
Yaaan ukipost leo, unatulia kama siku nne au wiki unapost tena , kama ni picha Weka zinazokuonyesha umecheka ,umetabasamu, uko na jamaa zako wakike au wakiume mkifurahi.

Hakikisha Asijue ratiba za Maisha yako kupitia mtandao..yaan hapa asijue upo wapi siku hizi, unafanya nn, upo na nani n.k


USITUMIE WATU KUMBEMBELEZA.


USIJE KUMBEMBELEZA, AU KUMUOMBA MSAMAHA, KUJARIBU KUHOJI KUNAN, KWANN KABADILIKA N.K ACHAAAAAAAAAAAAAA.


HIZI MBUZI ZISIZOJIELEWA ,HUJA KWENYE MAISHA KUFUNDISHA ..NAHIVO JIONE WEWE NI BORA, WA THAMAN, HB, MWENYE MAISHA. HUWEZ AMIN, ASIPOJIRUDI, ATAKUJA BOOOOONGE LA DEMU KISUUUUUUUU KIKALIIII PISI YENYE KUUMBWA NA KUUMBIKA, ACHANA NAHILO GARI LA MKAA.
Follow this advice bruh
 
Andaa gunia la mkaa mwite akifka mchome tu

Nadhan hata umri hamuendani unaonekana wewe n Babu fulan wakat yeye bado binti mbichiii

Any way alikutimia Kama daraja ashavuka ng'ambo ya pili fanya yako zaa mapema umri uanaenda huo shauri yako

Mwenzako huko bugurun amemuacha mumewe kisa hana pumbu je wewe unazo zote mbili isije ukawa unalalamika hapa kumbe una pumbu moja TU au hauna kabisa
 
We fala achana nae huyo, fanya kama ulimsaidia moita njia, utamuwaza saana utajitia presha utakufa kingese, unamuacha mwenzio anapigiliwa mbupu duniani, unawaachia wenye kukupenda kweli pengo lisilozibika...

Kuwa MWANAUME.
The real makaveli
 
Mkuu siku nyingine usifanye tena uwekezaji wa mali na vitu kwa mtu ili uvune upendo wake.

Unaweza mmalaumu huyo binti lakini kumbe alichokuwa anahitaji kutoka kwako ni msaada tu ni si mahusiano ya kimapenzi.
 
Wanawake wote hawa Tanzania bara na visiwani unalalamika kutopokelewa simu na mmoja

Pole sana aisee
Mara nyingi watu huwa ving'ang'anizi wakiwaza jinsi walivyojitoa na kuligharamaia penzi ili wapendwe
 
Back
Top Bottom