Analyse
JF-Expert Member
- Jan 19, 2014
- 16,426
- 41,526
Hapo mm ndio huwa nakuwaga tofauti kidogo na wengine. Kama ni wake, basi hataondoka. Kitendo cha kuondoka tu, huyo sio wake. Yani aende huko apelekewe moto weee, mambo yakiwa magumu ndio arudi tena kwa jamaa???Kama ni wa kwako atarudi, kama si wa kwako potezea. Na sio ndo ukae umsubiri. Fanya maisha yako jomba. Muache ajifunze na aone hayo anayoyafanya ni ya kawaida sana. Kama yana umuhimu kwake ataendelea nayo. Akiona wewe una umuhimu kwake atarudi.