Baada ya kumjali na kupigania mafanikio yake, leo nimegeuka kuwa mshamba

Nilimkuta akiwa ana stress za maisha baada ya kumaliza masomo yake katika chuo fulani. Nilimshika mkono, nikamfuta machozi kisha nikampenda na nikamfundisha kunipenda, nikaishi nae kwa zaidi ya miez kumi. sikuhitaji kumuona akiwa katika msongo wa mawazo bali nilitafiti nikagundua shauku yake ilikuwa ni kupata kazi au biashara ainue familia yake na ajenge mustakabali wa maisha yake. Niliamini katika falsafa ya ushirikiano katika kujenga mustakabali wetu kwani kila mara alionyesha kuwa mimi ni chagua sahihi kwa kauli na matendo. Nilipambana kwa hali na Mali kwa kipato changu cha kawaida na hii exposure ndogo mpaka nikafanikiwa akapata kazi kwenye shirika moja la miradi ya afya hapa nchini akaenda kufanya kazi nje ya mkoa niliopo mimi. wiki mbili baada tu ya kuajiriwa alibadilika sana alibadilika sana, ninaweza kumpigia simu nakuta yuko busy kuanzia saa tano mpaka saa saba usiku na anaona simu yangu inaingia hapokei na akimaliza kuongea hanitafuti hata nikimuulza hatak kusema anaongea na nani, akaenda mbali zaid ukimtumia sms anakujib kwa mkato na ikafikia hatua hataki kunitafuta na nikimtafuta hapokei simu. Nimewahi kwenda huko anakofanyia kazi nimekaa siku tatu yaani muda wote hajiamini na hawez kutoka nje akaongozana na mm. Dharau na kiburi ndio umekuwa mtindo wa maisha yake. Naishia kuitwa mshamba kwa kumfatilia eti nijiamini. Kifupi nimejitoa kwa mengi nikijua huyu atakuwa mke wangu halaf amekuja kunibadilikia ghafla, inauma sana na Niko katika wakati mgumu sana ukizingatia niko naandika tasnifu yangu niweze kumaliza shahada yangu ya uzamili lakini nashindwa hata kusimamia biashara zangu zinanishinda.. nabaki muda wote ndani nimejifungia tu roho inaniuma sana kila nikiwaza mawazo yangu yananipeleka mbali zaidi ya jinsi ambavyo siwez kuelezea, nimepitia changamoto nyingi katika maisha yangu lakin hili naona linanizidi.. ndugu zangu naona kabisa jahazi linazama... mwenye ushauri mzuri utakaonisaidia na kunitoa ktk hii hali naomba aje PM au hapa hadharani anishauri. Jf naona ndio second home yangu naamini ndugu zangu wenye busara zaidi mtanisaidia.
Kipindi wewe unaona mke, huku ukizidi kuongeza mapenzi. Yeye alikuwa anaona fursa.
 
Tatizo wema wako uliambatana na kupiga K,
Kama ndivyo huenda naye anaamini ulimtumia sababu ya umaskini wake huku wewe ukijiaminisha mko pamoja ,

kilichomleta kwako ameshakipata ,what next,ametafuta maisha mengine ,inabidi ukubali maisha yaendelee,utakuwa umejifunza ,wakati mwingine hutafanya makosa
 
Ukweli ambao wanawake hawausemi nki kuwa wanataka wanaume katili na wenye msimamo (yan ukinyanyua mkono kumpiga usiurudishe....nyoosha)

Na pia wengi wakijua unawapenda wanakudharau...ukiwajali hua hawaoni umuhim wako mpk utakpoacha...!!

Wakat wew unajifanya sharukhan...wenzio pemben wakajifanya mzee ashant

Achana nae....one day atakutafuta
 
Kama ni wa kwako atarudi, kama si wa kwako potezea. Na sio ndo ukae umsubiri. Fanya maisha yako jomba. Muache ajifunze na aone hayo anayoyafanya ni ya kawaida sana. Kama yana umuhimu kwake ataendelea nayo. Akiona wewe una umuhimu kwake atarudi.
Arudi akielekea wapi, huyo ni mbwa jike aka malaya apelekeshe ushitwani simshauri mtoa mada amsamehe hata mara moja hata ikiwa atalia machozi pipa 3! Wanawake wabinafsi na wanafiki ni nyoka!
 
Hapo mm ndio huwa nakuwaga tofauti kidogo na wengine. Kama ni wake, basi hataondoka. Kitendo cha kuondoka tu, huyo sio wake. Yani aende huko apelekewe moto weee, mambo yakiwa magumu ndio arudi tena kwa jamaa???
Mwanamke anayekupenda hawezi waza kukukimbia au kukusaliti! Wanaofanyaga hivi ni opportunistic bitches ambao wanaonaga the grass is greener on the other side licha ya support kiasi gani mtu unatoa na ku toil kwa ajili yake.
 
Kama ni wa kwako atarudi, kama si wa kwako potezea. Na sio ndo ukae umsubiri. Fanya maisha yako jomba. Muache ajifunze na aone hayo anayoyafanya ni ya kawaida sana. Kama yana umuhimu kwake ataendelea nayo. Akiona wewe una umuhimu kwake atarudi.
Huyo asirudi kabisa:

Amesaidiwa ila hajitambui , uzuri malipo ni hapa hapa chini ya jua, hako kajamaa alikokapata huko kwenye afya katamfanyia visa hadi akome..
Kaka yetu pambana na maisha yako wanawake wanaojielewa wapo tu na Mungu atakupa fungu lako.
Achana na huyo mpuuzi asiyejielewa.
 
Mwanamke anayekupenda hawezi waza kukukimbia au kukusaliti! Wanaofanyaga hivi ni opportunistic bitches ambao wanaonaga the grass is greener on the other side licha ya support kiasi gani mtu unatoa na ku toil kwa ajili yake.
Tatizo kuna wadau wanaendekeza sana misemo iliyopitwa na wakati. Eti kama wako, muache aende maana atarudi tu, hasiporudi jua hakuwa wako.

Mimi ukishaamua kunipiga chini ukasepa, jua hiyo ni one way journey like a sniper's bullet. Mambo yakikushinda huko, nenda katafute kwingine
 
Amnaga mambo za kurudi aisee, this for real man only!
 
Brother pole sana;
Jitahidi kutomfatilia mambo yake:
Usimtafute wala jiweke busy na mambo yako angalia future yako, ona kama ndo haijapangwa nyie kuwa pamoja! jipende vaa smart , wapo wengine wengi wazuri tu utawapata .
 
Huenda ili mlazimu atulie ili afanikiwe akae na yule anae muona mtu katika maisha yake
 
Ukimpokea ndio anakuona zuzu pro max, yani mfumo ndio unakuwa huo na ukijichanganya kuzaa nae lazma akuingizie damu isio yako
Maumivu ya moyo yanamuda, then yanakata. Hebu mwambie jamaa ajishkilie vizuri, maisha yaende.

Kumbembeleza mtu ambae upande wa pili anamtumwingine kamchomeka kidole, utaishia kujibiwa ovyo tu.
 
Back
Top Bottom