Baada ya kumfukuzia kwa miaka 15, hatimaye nimempata

Miaka 7

Miaka 5

Miaka 4

Miaka 3

Miaka 2

Mwaka 1...

Hahaaa! Hata visa za kwenda mars haziko hivyo...

Tatizo Muda ukishakupita ndio basi umekupita...!

Huwa nafikiria sana muda wangu...if it was not meant to be...you just need to move forward..
 
Ni safari ndefu sana lakini mwisho imefanikiwa.
Nilianza kumfukuzia mwaka 1999 nikiwa darasa la nne, yeye akiwa darasa la tano. Kiukweli nilikuwa nampenda na yeye pia alikuwa ananipenda sana.

Siku nisipomuona nilikuwa siwezi kulala kabisa usiku.
Hali ilikuwa mbaya zaidi alipomaliza shule mwaka 2001 na kuniacha darasa la sita. Kwa kweli nilitamani kuacha shule ili niende nikakae nae huko mtaani.
Nilijua fika hawezi kuchelewa kuolewa maana mtoto alikuwa mzuri sana. Na kumbuka tulikuwa wapenzi lakini hatukuwahi kufanya mapenzi licha ya kuchezeana tu. Kitendo hiki kiliniuma sana kuishia tu kushika mapaja ya mtoto mzuri.

Ni kweli matokeo yalipotoka tu akaolewa na mpaka muda huo sikuwahi kuwasiliana tena mpaka mwaka huu 2017!.

Mi nilimaliza hiyo shule na kufaulu kuendelea na masomo hadi chuo na sasa nina mishe zangu hapa town.

Siku moja nikiwa kwenye kazi nikaona call ya namba ngeni, kuuliza akajitambulisha ni Eliza my love wa enzi zile p/school.
Kwa kweli nilihisi moyo kupasuka kwa furaha. Nilimuita town amefika leo nikala tunda na kesho anarudi kwa mme wake huko mkoani.
Najiona shujaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Daah nikadhani umemuoa aseeh kumbe kula tunda tu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Minkajua alikua anakubania lakin hana mtu kumbe ashakua used mke wamtu, umekula makombo br00

Sent from My GooglePixel using JamiiForums mobile app
 
15 years si ameishakuwa scraper?

Sent from my Compaq desktop-1997 Using Jamiiforums desktop app
 
Ni safari ndefu sana lakini mwisho imefanikiwa.
Nilianza kumfukuzia mwaka 1999 nikiwa darasa la nne, yeye akiwa darasa la tano. Kiukweli nilikuwa nampenda na yeye pia alikuwa ananipenda sana.

Siku nisipomuona nilikuwa siwezi kulala kabisa usiku.
Hali ilikuwa mbaya zaidi alipomaliza shule mwaka 2001 na kuniacha darasa la sita. Kwa kweli nilitamani kuacha shule ili niende nikakae nae huko mtaani.
Nilijua fika hawezi kuchelewa kuolewa maana mtoto alikuwa mzuri sana. Na kumbuka tulikuwa wapenzi lakini hatukuwahi kufanya mapenzi licha ya kuchezeana tu. Kitendo hiki kiliniuma sana kuishia tu kushika mapaja ya mtoto mzuri.

Ni kweli matokeo yalipotoka tu akaolewa na mpaka muda huo sikuwahi kuwasiliana tena mpaka mwaka huu 2017!.

Mi nilimaliza hiyo shule na kufaulu kuendelea na masomo hadi chuo na sasa nina mishe zangu hapa town.

Siku moja nikiwa kwenye kazi nikaona call ya namba ngeni, kuuliza akajitambulisha ni Eliza my love wa enzi zile p/school.
Kwa kweli nilihisi moyo kupasuka kwa furaha. Nilimuita town amefika leo nikala tunda na kesho anarudi kwa mme wake huko mkoani.
Najiona shujaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Darasa la nne 1999!!!! JF Kuna kazi
 
Lkn wenzako walikuwa wana-sex na huyo demu kiulaini, tena siajabu alikuwa anawafukuzuia, wewe unakuja kula walivyoviacha, wewe siyo alpha male, bali ni Mwanaume suruali tu, na huyo demu nina uhakika100% amekukubali baada ya kushuka chati na sasa ma alpha Male hawamtaki tena, wamekuachia, hata hivyo hongera kila mtu na anatafuta anapofiti maishani, sisi wengine tunagonga mademu ambao bado wako kwenye chati!
Sas mbona kama mapovu yanakutoka au neno shujaa limekuchanganya...kila mtu ana namna yake ya kuji feel proud.
 
Back
Top Bottom