Baada ya kumfukuzia kwa miaka 15, hatimaye nimempata

Baada ya kumfukuzia kwa miaka 15, hatimaye nimempata

Ni safari ndefu sana lakini mwisho imefanikiwa.
Nilianza kumfukuzia mwaka 1999 nikiwa darasa la nne, yeye akiwa darasa la tano. Kiukweli nilikuwa nampenda na yeye pia alikuwa ananipenda sana.

Siku nisipomuona nilikuwa siwezi kulala kabisa usiku.
Hali ilikuwa mbaya zaidi alipomaliza shule mwaka 2001 na kuniacha darasa la sita. Kwa kweli nilitamani kuacha shule ili niende nikakae nae huko mtaani.
Nilijua fika hawezi kuchelewa kuolewa maana mtoto alikuwa mzuri sana. Na kumbuka tulikuwa wapenzi lakini hatukuwahi kufanya mapenzi licha ya kuchezeana tu. Kitendo hiki kiliniuma sana kuishia tu kushika mapaja ya mtoto mzuri.

Ni kweli matokeo yalipotoka tu akaolewa na mpaka muda huo sikuwahi kuwasiliana tena mpaka mwaka huu 2017!.

Mi nilimaliza hiyo shule na kufaulu kuendelea na masomo hadi chuo na sasa nina mishe zangu hapa town.

Siku moja nikiwa kwenye kazi nikaona call ya namba ngeni, kuuliza akajitambulisha ni Eliza my love wa enzi zile p/school.
Kwa kweli nilihisi moyo kupasuka kwa furaha. Nilimuita town amefika leo nikala tunda na kesho anarudi kwa mme wake huko mkoani.
Najiona shujaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa Elitwege ushujaa wako upo wapi?wanaume wenzio washafunua vya uhakika weye unajisifia kumpata anyway ngoja nielekee Otawa kukomboa Bombardier yetu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wahenga walisema mvumilivu hula mbivu, ila hapa naona mvumilivu kala MBOVU.
 
Unasema alikupenda Sana na wewe ulimpenda Saana,,,,

Lakini mkakaa miaka Saaana

Uku akiliwaaa sanaaa

Umehangaikaa na Maisha saaana

Kwa sasa umefanikiwa sanaaa

Amekutafuta Saaana,,,,


[HASHTAG]#Leo[/HASHTAG] hii unakulaa residues!!!!

Mkuu Hapo ume prove failure sanaaa!!! '!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unasema alikupenda Sana na wewe ulimpenda Saana,,,,

Lakini mkakaa miaka Saaana

Uku akiliwaaa sanaaa

Umehangaikaa na Maisha saaana

Kwa sasa umefanikiwa sanaaa

Amekutafuta Saaana,,,,


[HASHTAG]#Leo[/HASHTAG] hii unakulaa residues!!!!

Mkuu Hapo ume prove failure sanaaa!!! '!!

Sent using Jamii Forums mobile app
My promise was to eat her

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Arsene Wenger ni mwanaume mvumilivu zaidi kuliko wote,
Elitwege nawe ni mfuasi. wa A. Wenger
 
Hiyo miaka ya katikati mlihopotezana pia umehesabia
 
Back
Top Bottom