G.Jacob
JF-Expert Member
- Aug 12, 2013
- 3,617
- 3,491
Huu ndio ukweli mchungu watu hatupendi kuukubali.Nilichojifunza juzijuzi na kikanisababishia mshtuko ni kwamba zaidi ya asilimia 70 ya wanandoa ni watu ambao wameoana kimakosa na hawapendani!!....Rule:Ukimpenda mtu ni ngumu kumpata!!