Baada ya kumfukuzia kwa miaka 15, hatimaye nimempata

Ngoja aje na mme wake ale tunda
Ni safari ndefu sana lakini mwisho imefanikiwa.
Nilianza kumfukuzia mwaka 1999 nikiwa darasa la nne, yeye akiwa darasa la tano. Kiukweli nilikuwa nampenda na yeye pia alikuwa ananipenda sana.

Siku nisipomuona nilikuwa siwezi kulala kabisa usiku.
Hali ilikuwa mbaya zaidi alipomaliza shule mwaka 2001 na kuniacha darasa la sita. Kwa kweli nilitamani kuacha shule ili niende nikakae nae huko mtaani.
Nilijua fika hawezi kuchelewa kuolewa maana mtoto alikuwa mzuri sana. Na kumbuka tulikuwa wapenzi lakini hatukuwahi kufanya mapenzi licha ya kuchezeana tu. Kitendo hiki kiliniuma sana kuishia tu kushika mapaja ya mtoto mzuri.

Ni kweli matokeo yalipotoka tu akaolewa na mpaka muda huo sikuwahi kuwasiliana tena mpaka mwaka huu 2017!.

Mi nilimaliza hiyo shule na kufaulu kuendelea na masomo hadi chuo na sasa nina mishe zangu hapa town.

Siku moja nikiwa kwenye kazi nikaona call ya namba ngeni, kuuliza akajitambulisha ni Eliza my love wa enzi zile p/school.
Kwa kweli nilihisi moyo kupasuka kwa furaha. Nilimuita town amefika leo nikala tunda na kesho anarudi kwa mme wake huko mkoani.
Najiona shujaa.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duhhh kwa hyo sasa una umri gani?,mnachepuka SI atakuwa ameolewa/umeoa wewe,kweli fainali uzeeni
 
Vijana wa lumumba akili hamna hadi kwenye mapenzi,yaaani unajiona shujaa kusex na mwanamke mtumba,umeagiza mtumba wa k mkoan kweli?Ama kweli vuvuzera ni vuvuzera tu
 
Jamaa yangu umenikumbusha mimi nilifukuzia demu miaka miwili tangua akiwa fomu 1 mimi 2 hadi namaliza kidato cha nne alikuwa hajakubali.Niliondoka shule bado nikiwa na matumaini ya kumpata.Lakini hadi leo tunavyoongea sijawahi pata mawasiliano yake mwaka wa 15 huu.Bado namkumbuka sana huyu binti natumai ipo siku tutaonana hata kama ameolewa

Nakuhakikishia ipo siku mtaonana na atakupa tunda kiulaini sana.

Usikate tamaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vijana wa lumumba akili hamna hadi kwenye mapenzi,yaaani unajiona shujaa kusex na mwanamke mtumba,umeagiza mtumba wa k mkoan kweli?Ama kweli vuvuzera ni vuvuzera tu
Unaelewa maana ya love?

Kwa hiyo wewe unajiona una akili kuliko rais wa ufaransa aliyeoa mwanamke anayemzidi miaka 40?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamaa yangu umenikumbusha mimi nilifukuzia demu miaka miwili tangua akiwa fomu 1 mimi 2 hadi namaliza kidato cha nne alikuwa hajakubali.Niliondoka shule bado nikiwa na matumaini ya kumpata.Lakini hadi leo tunavyoongea sijawahi pata mawasiliano yake mwaka wa 15 huu.Bado namkumbuka sana huyu binti natumai ipo siku tutaonana hata kama ameolewa

Sent using Jamii Forums mobile app
Duhhh mapenxi ya shoe Ni shidaaaaaaaaaa,
 
Back
Top Bottom