mkulu senkondo
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 1,896
- 3,660
Ndio maana kadri siku zinavyosogea suala la kuoa nalipuuza kabisa...
Ndio maana kadri siku zinavyosogea suala la kuoa nalipuuza kabisa...
Mafanikio yako kimaisha ndio yamemvutia, angesikia kuwa wewe ulishakuwa mlinzi au konda wa dala dala za tegeta boko bunju bagamoyo hata asinge hangaika kukutafuta
_ where ever you are remember me_
Ana ukimwi !!!!!!!!!! Umekula tunda mbovu!!!
usisahau vya kusahau kabla kusahau hAkujakusahau wewe uliye sahau
Ni mtamu mno, hana ukimwi mkuuAna ukimwi !!!!!!!!!! Umekula tunda mbovu!!!
usisahau vya kusahau kabla kusahau hAkujakusahau wewe uliye sahau