Pole mkuu, love is bigNikimkumbuka Mage alivyosababisha kufukuzwa shule na leo alivyo naamini mapenzi ni upofu.. Mage ulikuja ili kuniharibia
Kwa sasa ana wajukuu mkuuVipi ulimkuta bikra?
Ni hatari lakini salama.
Hata Mimi machine imesugua wengi kwa hiyo sina cha kupotezaBaada ya soko lake kushuka ndiyo ameona akuletee wewe alafu unajiona Shujaa [emoji23][emoji23][emoji23]
Mashujaa wale waliokula wakati Yupo kwenye soko, Watu washazalisha watoto watatu washasugua iyo mashine paka basi..
Sent using Jamii Forums mobile app
Usijione Shujaa Sasa Vunga tu.. Mimi mademu niliosoma nao darasa moja primary amebaki mmoja tu wengine wote nimeshawala ila sijioni shujaa..
Unajiona falaUsijione Shujaa Sasa Vunga tu.. Mimi mademu niliosoma nao darasa moja primary amebaki mmoja tu wengine wote nimeshawala ila sijioni shujaa..
Sent using Jamii Forums mobile app
HahahahaAisee Ccm imekuzeesha sana! Yaani mwaka 1999 ulikua darasa la nne?
Disco Toto la ufipa hiloWewe Tigo yako unaliwa biriani mitaa ya lumumba FC View attachment 1313781
Sent using Jamii Forums mobile app
DuhDuh. Pumbaf
Cku hiyo hilo lililoliwa liliaga linaenda kwa shangazi.
Pongezi kwa utamu ila omba jamaa asijue. Utakosa marinda wewe,
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh mi nilifikiri kuna kitu cha maana umefanya kumbe umezini na mke wa MTU[emoji23][emoji23][emoji23]. NonsenseNi safari ndefu sana lakini mwisho imefanikiwa.
Nilianza kumfukuzia mwaka 1999 nikiwa darasa la nne, yeye akiwa darasa la tano. Kiukweli nilikuwa nampenda na yeye pia alikuwa ananipenda sana. Siku nisipomuona nilikuwa siwezi kulala kabisa usiku.
Hali ilikuwa mbaya zaidi alipomaliza shule mwaka 2001 na kuniacha darasa la sita. Kwa kweli nilitamani kuacha shule ili niende nikakae naye huko mtaani.
Nilijua fika hawezi kuchelewa kuolewa maana mtoto alikuwa mzuri sana. Na kumbuka tulikuwa wapenzi lakini hatukuwahi kufanya mapenzi licha ya kuchezeana tu. Kitendo hiki kiliniuma sana kuishia tu kushika mapaja ya mtoto mzuri.
Ni kweli matokeo yalipotoka tu akaolewa na mpaka muda huo sikuwahi kuwasiliana tena mpaka mwaka huu 2017!
Mi nilimaliza hiyo shule na kufaulu kuendelea na masomo hadi chuo na sasa nina mishe zangu hapa town.
Siku moja nikiwa kwenye kazi nikaona call ya namba ngeni, kuuliza akajitambulisha ni Eliza my love wa enzi zile p/school.
Kwa kweli nilihisi moyo kupasuka kwa furaha. Nilimuita town amefika leo nikala tunda na kesho anarudi kwa mume wake huko mkoani. Najiona shujaa.
Sent using Jamii Forums mobile app