Baada ya kumfukuzia kwa miaka 15, hatimaye nimempata

Baada ya kumfukuzia kwa miaka 15, hatimaye nimempata

Id yako niliisoma fasta nikaona kama imeandikwa Elibwege

Kuna kabinti mi nakangoja kapo form one Oysterbay akifika form six naoa, washkaji zangu wakasema ninacheza makida makida sasa ngoja niwaonyeshe huu uzi
 
Mkuu kwa jinsi ninavyompenda hata akiachika leo namuoa

Sent using Jamii Forums mobile app

Acha aisee; mdomo huumba. Yawezekana akaachika kweli kama ulimwambia hayo maneno na alivyokuona ukitetemeka baridiii la kimapenzi. Je, huoni unauonea ujana wako?? Alikuwa la 7 we la 6. Akaolewa kabla hata shule hujamaliza la 7. Leo ushamaliza vyuo vyote, ameshazaa msichana saizi yako kabisaaa. Unampenda mamake kuliko bintiye?? Una katatizo flan hivi. Kanaitwa; Mpenda ganda la muwa la jana, chungu kaona kivuno. Ugonjwa huu ni mbaya sana kwani upo tiyari kumloga mtu. Kama keshaenda huko mikoani, sidhani hata lile shuka utaliosha. Pole na ugonjwa huo
 
Ni safari ndefu sana lakini mwisho imefanikiwa.
Nilianza kumfukuzia mwaka 1999 nikiwa darasa la nne, yeye akiwa darasa la tano. Kiukweli nilikuwa nampenda na yeye pia alikuwa ananipenda sana.

Siku nisipomuona nilikuwa siwezi kulala kabisa usiku.
Hali ilikuwa mbaya zaidi alipomaliza shule mwaka 2001 na kuniacha darasa la sita. Kwa kweli nilitamani kuacha shule ili niende nikakae nae huko mtaani.
Nilijua fika hawezi kuchelewa kuolewa maana mtoto alikuwa mzuri sana. Na kumbuka tulikuwa wapenzi lakini hatukuwahi kufanya mapenzi licha ya kuchezeana tu. Kitendo hiki kiliniuma sana kuishia tu kushika mapaja ya mtoto mzuri.

Ni kweli matokeo yalipotoka tu akaolewa na mpaka muda huo sikuwahi kuwasiliana tena mpaka mwaka huu 2017!.

Mi nilimaliza hiyo shule na kufaulu kuendelea na masomo hadi chuo na sasa nina mishe zangu hapa town.

Siku moja nikiwa kwenye kazi nikaona call ya namba ngeni, kuuliza akajitambulisha ni Eliza my love wa enzi zile p/school.
Kwa kweli nilihisi moyo kupasuka kwa furaha. Nilimuita town amefika leo nikala tunda na kesho anarudi kwa mme wake huko mkoani.
Najiona shujaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kichwa cha habari kilitakiwa kusomeka hivi...baada ya kupoteana kwa miaka 15 hatimae tumeonana, ulivyoandika hicho kichwa ni kama vile mlikuwa mtaa au kijiji kimoja kwa muda wote na alikuwa hajakukubali.
 
Back
Top Bottom