Baada ya Kumalizana na CCM, Shigongo kaibuka na hii

Baada ya Kumalizana na CCM, Shigongo kaibuka na hii

BabaTina

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2008
Posts
429
Reaction score
585
Kutoka mtaa wa pili kwenye ukurasa wa FB nimekutana na hii promo, Kwa mtazamo wangu tu hii hali ya kutuambia tuvumilie mpaka leo hii ni miaka 50.Sio fair kabisa! Yaani mtu kazaliwa babako anavumilia, unazaliwa wewe unaendelea kuambiwa Vumilia! Huu uvumilivu utaisha lini!??

6b3fa130a25805f68fb8f63ab720ecdf.jpg
 
Hafaidiki na uwepo wako kwani umeshindwa kumkatia hata bima ya afya aje kufaidika na Bombardier !...?
Hafaidiki na uwepo wako kwani umeshindwa kumkatia hata bima ya afya aje kufaidika na Bombardier !...?
Jibu swali Kwa point na siyo kupayuka kilumumba Lumumba, Hizo ndege zimenunuliwa Kwa jasho letu watanzania, sasa hujajibu sisi tuliopo huku porini tutafaidikaje?
 
Jibu swali Kwa point na siyo kupayuka kilumumba Lumumba, Hizo ndege zimenunuliwa Kwa jasho letu watanzania, sasa hujajibu sisi tuliopo huku porini tutafaidikaje?

We endelea kukaa porini. Si lazima unufaike.
 
Hata ungekuwa unaheshimika kiasi gani,ukianza kujinyenyekeza kwa watawala tu-Hadhi yako inashushwa hadi wadogo zako "akina Nape,Makonda" watakupa amri na utatekeleza kwa unyenyekevu kana kwamba wewe ndio "dogo" kwao!
Heshima niliyokuwa nayo kwa Erick niliishusha baada tu ya kuusoma waraka wake wa pili ulioelezea jinsi alivyomalizana na wadaiwa wake...
Erick ni mnafki sana!
 
Kwa nini anatumia alama/nembo za biashara za kampuni nyingine kuitangaza air tz. Sio kosa la kibiashara hilo?
 
Hivi hizi ndege zinamnufaishaje babu yangu anayeishi kule nanjilinji
Dah...acha uboya bana...umesikia watu wanapanda bure?....ile nauli inayolipwa pale...serikali inachukua sehemu..kisha Babu yako anunuliwa dawa[emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Hivi hizi ndege zinamnufaishaje babu yangu anayeishi kule nanjilinji

Wakati mwingi si kupinga kila kitu, hoja ni muhimu sana... Ndege ni biashara, faida inayopatikana kupitia biashara hii ya ndege inaweza kujenga kituo cha afya na babu yako akatibiwa, pia hiyo faida inaweza kununua ambulance na kumchukua babu yako kwa haraka kwenda kituo cha afya cha karibu.. Sio lazima babu yako apande hiyo dream liner....
 
Back
Top Bottom