ki2c
JF-Expert Member
- Jan 17, 2016
- 8,681
- 16,279
Mimi mwananchi ambaye ni mlipa Kodi mwaminifu na ambaye nahitaji kodi inayokusanywa kwangu na kwa baadhi ya ndugu zangu watanzania,ningependa rais wa hii nchi afanye vitu ambavyo tunaweza kunufaika moja kwa moja na kwa kiwango kikubwa.Ndege ambazo ananunua zinawasaidia watu wachache moja kwa moja kuliko watu wengi ambao nauli tu ni shida.Fedha hizo zingetumika kununua dawa mahospitalini,kuboresha Huduma mbalimbali amb mtu wa chini na wa juu wanaweza kufaidika.Tuache unafiki,akiondoka Magufuli akaingia rais mwingine na akaanza kuponda mambo mabaya anayoyatenda raid,bado tena watu watasema tumepata mkombozi,ila kwasasa anashangiliwa.