Baada ya Kumalizana na CCM, Shigongo kaibuka na hii

Baada ya Kumalizana na CCM, Shigongo kaibuka na hii

Wakati mwingi si kupinga kila kitu, hoja ni muhimu sana... Ndege ni biashara, faida inayopatikana kupitia biashara hii ya ndege inaweza kujenga kituo cha afya na babu yako akatibiwa, pia hiyo faida inaweza kununua ambulance na kumchukua babu yako kwa haraka kwenda kituo cha afya cha karibu.. Sio lazima babu yako apande hiyo dream liner....
Sio vizuri kusifia kila kitu vilevile
 
Wakati mwingi si kupinga kila kitu, hoja ni muhimu sana... Ndege ni biashara, faida inayopatikana kupitia biashara hii ya ndege inaweza kujenga kituo cha afya na babu yako akatibiwa, pia hiyo faida inaweza kununua ambulance na kumchukua babu yako kwa haraka kwenda kituo cha afya cha karibu.. Sio lazima babu yako apande hiyo dream liner....
Ni kweli sometimes inabidi tukubaliane na ukweli na uhalisia. Siipendi lumumba na najua magamba wengi huenda hawampendi JPM kwa sababu ya kasi yake ya uwajibikaji ambao wenyewe wamezoea kuchumia kivulini. Wasiwasi ni kama vile 'visiki' vya Lumumba vitamuachia kuendelea na kazi yake kama alivyokwisha tanabaisha katika ugumu wa 'kufukua makaburi. Tunaendelea kumuombea lakini pia tunamuombea na Mh. Lema asidhurike huko aliko huku tukiwaonyesha kidole waliompeleka aliko.
Kwetu sisi tulioishi vijijini huwa kuna miti mirefu isiyopandika lakini ina matawi yamekauka, kwa hiyo ukipiga upepo mkali unaweza kuangusha mazao lakini pia ukaja na faida ya kuangusha kuni pia. Vivyo hivyo ujio wa shirika imara la umma unaweza kutusaidia kujua bei halisi za huduma hiyo tofauti na ilivyo sasa. Of course wahujumu wanakuwemo ndani ya shirika lakini ukitumia 'Kagame style' watanyooka tu.
Hebu angalia matokeo ya mwezi mmoja wa bombardier tena katika kipindi hiki cha mwisho wa mwaka!
pw.jpg
 
Mirembe wameanza lini kuwaruhusu wagonjwa kutumia smartphone
Ndio maana hii hali tunayopitia sasa ni muhimu sababu itatusaidia kujuana rangi zetu halisi. Kuna baadhi ya watu walishakuwa qualified kama 'think tank' za Tanzania lakini kumbe vichwa vyao ni sawa na watoto wa chekechea!
 
zipi hizo za kimataifa zile za kukodi au zipi hizo , tanzania hatujawahi kuwa na ndege za kimataifa mkuu zile hazikuwa za kwetu zilikuwa za watu

Mkuu hujasoma nilicho andika nimeandika "Tulikuwa tunaziona ndege za kimataifa"
Kabla hujajibu soma soma soma.
 
Hivi hizi ndege zinamnufaishaje babu yangu anayeishi kule nanjilinji
Inahitaji isomi wa hali ya juu kujua babu yako ananufaikaje....kifupi tu ni kwamba ndege zina stimulate utalii na utalii unaliingizia taifa pato la kigeni zaid ya madini yote na pato hilo hutumika kutekeleza shughuli za maendeleo ikiwemo ujenz wa miundombinu ya maj barabara umeme elimu n.k kwenye maeneo mbalibali ya nchi kikiwemo kijiji cha babu yako ulichokitaja...tuweke itikadi pembeni tujifunze kupongeza tukiangalia kwa jicho la kulaumu tutalaumu kila cku iendayo kwa God
 
Ndege moja tunaweka South Africa nnyingne tunatega Ethiopia ya tatu tuweka Morocco watalii watakuja tuu. viva Magufuli
 
#2020_USIRUDIE_KOSA

Ni Dr Magufuli and nothing else, ndiye anafanafana na Mwl Nyerere kimatendo kwani wengine wote hata ndani ya chama tawala ni maneno ya ujamaa mdomoni lakini kihalisia wapo kwenye ubepari haswaa!
 
Tunapinga na kusifia kwa kuangalia uhalisia na ukweli wa jambo lenyewe na ndio maana umeona nimejanga hoja kwenye jambo husika..
Hoja kwako inaweza kuwa si hoja kwa mwingine and sometimes watu wanajitahidi kujenga hoja kwa vitu ambavyo si sahihi kabisa kwa kuwa tu ni wachache miongoni mwa wanufaika wa mfumo.
 
Inahitaji isomi wa hali ya juu kujua babu yako ananufaikaje....kifupi tu ni kwamba ndege zina stimulate utalii na utalii unaliingizia taifa pato la kigeni zaid ya madini yote na pato hilo hutumika kutekeleza shughuli za maendeleo ikiwemo ujenz wa miundombinu ya maj barabara umeme elimu n.k kwenye maeneo mbalibali ya nchi kikiwemo kijiji cha babu yako ulichokitaja...tuweke itikadi pembeni tujifunze kupongeza tukiangalia kwa jicho la kulaumu tutalaumu kila cku iendayo kwa God
Idadi ya watalii kwenye awamu hii ya tano umepanda or umeshuka??
 
Back
Top Bottom